Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa - Dubai lapambwa kwa picha za Bendera ya Tanzania

Kwanini wasingweeka picha/videos za vivutio vya utalii, Madini, mazao ya kilimo vinavyopatikana TZ?
Hivyo vingine ataweka Tundu la Kisu na beberu wake Amsterdam
Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa pale Dubai muda huu limenakshiwa kwa Bendera ya Tanzania mwanzo mpaka mwisho lote. Dunia nzima sasa inatazama maajabu haya kwenye Jengo...
Genge la yule kijakazi wa Amsterdam linapambana kuponda yanayofanywa na serikali. Kweli ubinadamu kazi.
 
Nilikua naangalia Station moja ya nje muda huu [emoji1256] UAE na Tanzania wana mpango wa makusudi kuwaondoa wamasai ngorongoro ili kubinafsisha hiyo hifadhi. Tuendelee kuomba hali siyo nzuri huko mbeleni.
Kwa offer ya kuwekwa kwenye ghorofa
 
Tumeona video fupi ikionesha rangi za bendera ya taifa katika jengo refu, burj khalifa la huko dubai, UAE.
Je, kuna faida zozote nchi inazipata kwa tukio hilo? Au je, kuna malipo yoyote hutolewa ili kufanikisha hilo?

Nini hasa faida ya tukio hilo. Wadau naomba ufafanuzi.

Screenshot_20220301-010128_1646086480480.jpg
 
Unawapangia?

Kweli Kuna mijitu ni ngozi za mahatama, kaweke wewe basi
Kwaiyo uchumi wa Nchi umekua Sasa Tanzania tumekua Kama Dubai 🤣🤣🤣kizazi hiki nikama tulichokuwa tunasimuliwa kuwa Wazungu walikwenda mkoa furani,wakakuta wazee wa kijijini hicho wanacheza draft kwa kete za dhahabu,badae huyu mzungu kaamua kuwachongea kete za prastick zenye rangi ya kuvutia,kawaretea na kuwapa ,nawao wakampa kete hizo za dhahabu,hao mababu wakabaki wanashangiria, sasahivi naona hiyo roho ndio imerudi, Mtu mzima anashangilia kuona rangi ya bendera kwenye mnara wa jengo refu anakenua meno, utafikiri kuna kilichoongezeka hapa Nchini,hauni Ngorongoro ndivo inaondoka hivo.
 
Tumeona video fupi ikionesha rangi za bendera ya taifa katika jengo refu, burj khalifa la huko dubai, UAE.
Je, kuna faida zozote nchi inazipata kwa tukio hilo? Au je, kuna malipo yoyote hutolewa ili kufanikisha hilo?

Nini hasa faida ya tukio hilo. Wadau naomba ufafanuzi.

View attachment 2134526
Inalipiwa Dinari (Dirham) 250,000 ambayo ni sawa na Shiling 157,568,744.52 kwa dakika tatu !!! Baadaye tutaenda kuomba msaada au mkopo.
 
Kwahiyo faida yetu sisi ndio hiyo ya kulipia ili tuuze sura halafu baadaye tukaanze kuomba omba ? Ni sawa na jamaa yangu mmoja aliyenunulia bia fm academia kwa hela za mshahara ili atajwetajwe kama pedeshee , halafu kesho yake anakuja kuniomba hela ya kula !
 
I think Kama unaweza kutumia milioni 157 kujitangaza then ukapata watalii kutoka Dubai naamini sio tatizo since huwezi kupata hela kama hauna hela.

Ukiacha mambo ya mkataba wa Loliondo, waarabu wanaokuja kula maisha mngekuwa mnaona Ile convoy yao Wala isingekuwa hii million 157 ni ishu kabisa.

Mswahili usipotangaza yanakuwa maneno mkasema mbona Kagame anatangaza visit Rwanda kule Arsenal, Mara Kenya wanatangaza kwenye CNN, hivi unajua Tangazo moja CNN inalipiwa bei gani???

Kwa namna hii ya thinking tuna safari ndefu sana, nadhani wamefanya kazi nzuri mno wakati mwingine tusiwaze kwa kuangalia myopically.

Kama Kuna 10% hiyo anayejua aje aseme otherwise wacheni kazi ifanyike wandugu tutamtumia Mrisho Mpoto au Wanne Star mpaka lini? Kwanza alipwe milioni sita Yani nanii anamjua??? Unapoweka tangazo watu wanauliza hii bendera ya wapi? Then anapogoogle anakutana na Mt. Kilimanjaro, Serengeti etc hata agents wa watalii wanaona.

Let's be positive. Wakati mwingine ukiwa kiongozi halafu unafanya mema watu wanaibuka namna hii ndio unajikuta unasema wacha nipige hela zangu nimalize muda nikastaafu kwa raha.

Let's show appreciation kwa kufikiria positively, imagine Will Smith, Angelina Jolie wanapokuja wanalala Grumeti kule Serengeti wanaacha bei gani? Chumba kulala dola 2000 per night hapo hajataka kiwe customised ambapo huwa mpaka 12,000 dollars per night.

Sasa lazima tujiulize mtu mwenye hela zake aliyezoea kwenda Hawaii, Malibu, Malta, Santorini nk anaanzaje kujua mlima Kilimanjaro, Serengeti nk wakati agents wake wanachojua ni Alps mountains, Niagara falls nk? Lazima tukubali tutumie pesa ndio pesa itakuja, the fact tuna hivi vivutio haimaanishi kwingine hakuna, yaani Malaysia wanajitangaza CNN, Croatia, Switzerland yenyewe, Netherlands, sisi ni nani tusitangaze ili wajue? Tukiacha wataenda Kluger National park au Nairobi National Park or Masai Mara nako Kuna Simba, chui etc then tutaanza kulalamika.

On my side, Dubai is the best spot kwa kutangaza kwa sasa Tena tunapaswa kufungua information centre pale ambayo TIC na ministry ya utalii kwa maana ya Tanapa na foreign affairs wawepo pale Kama tourist information centre maana matajiri wa dunia na watu wengi sana wapo pale kustarehe so wanapata muda wa kuangalia na kuuliza hii ni wapi? Then atajiuliza Kuna nini huko mbona wameweza kutangaza?? I believe ni wazo zuri sana na la kupongezwa forget about gharama ya Tangazo 157 million think about Return On Investment.

Najua nitashambuliwa Ila tuwe positive sometimes.
 
Kwaiyo uchumi wa Nchi umekua Sasa Tanzania tumekua Kama Dubai 🤣🤣🤣kizazi hiki nikama tulichokuwa tunasimuliwa kuwa Wazungu walikwenda mkoa furani,wakakuta wazee wa kijijini hicho wanacheza draft kwa kete za dhahabu,badae huyu mzungu kaamua kuwachongea kete za prastick zenye rangi ya kuvutia,kawaretea na kuwapa ,nawao wakampa kete hizo za dhahabu,hao mababu wakabaki wanashangiria, sasahivi naona hiyo roho ndio imerudi, Mtu mzima anashangilia kuona rangi ya bendera kwenye mnara wa jengo refu anakenua meno, utafikiri kuna kilichoongezeka hapa Nchini,hauni Ngorongoro ndivo inaondoka hivo.
R na L ni shida sana na mtu alisoma Kiswahili toka primary school dah. Binafsi nikiona uandishi wa namna hii huwa naelewa level yako ya elimu na IQ yako.

Sina uhakika Kama una shule wewe. Kama una shule japo darasa la Saba nakushauri ujitahidi uandike kiswahili Cha kuandika sio Cha kuongea ambacho labda imeathirika na mother tongue.
 
Mmesha uzwa tayari,...
Mwarabu kanunua bendera imetoka hiyo.....
 
Inalipiwa Dinari (Dirham) 250,000 ambayo ni sawa na Shiling 157,568,744.52 kwa dakika tatu !!! Baadaye tutaenda kuomba msaada au mkopo.
Tuache tupo bize kutumbua pesa za mkopo na msaada tulizopata kwa wazungu. Zikiisha tunahamia kwa mchina.
 
Nilikua naangalia Station moja ya nje muda huu [emoji1256] UAE na Tanzania wana mpango wa makusudi kuwaondoa wamasai ngorongoro ili kubinafsisha hiyo hifadhi. Tuendelee kuomba hali siyo nzuri huko mbeleni.
Wacha Bhwana.

Ni kama utani utani vile, kumbe watu wetu wanalizwa!

Itabidi tukamkodi Malema wa Economic Freedom aje atupe semina hapa kuhusu mambo ya namna hii anayopambana nayo huko kwao Afrika Kusini kila siku.

Hawa viongozi wanaiuza Tanzania vipande vipande kwa spidi ya ajabu sana, kana kwamba hakuna kesho?
 
I think Kama unaweza kutumia milioni 157 kujitangaza then ukapata watalii kutoka Dubai naamini sio tatizo since huwezi kupata hela kama hauna hela.

Ukiacha mambo ya mkataba wa Loliondo, waarabu wanaokuja kula maisha mngekuwa mnaona Ile convoy yao Wala isingekuwa hii million 157 ni ishu kabisa.

Mswahili usipotangaza yanakuwa maneno mkasema mbona Kagame anatangaza visit Rwanda kule Arsenal, Mara Kenya wanatangaza kwenye CNN, hivi unajua Tangazo moja CNN inalipiwa bei gani???

Kwa namna hii ya thinking tuna safari ndefu sana, nadhani wamefanya kazi nzuri mno wakati mwingine tusiwaze kwa kuangalia myopically.

Kama Kuna 10% hiyo anayejua aje aseme otherwise wacheni kazi ifanyike wandugu tutamtumia Mrisho Mpoto au Wanne Star mpaka lini? Kwanza alipwe milioni sita Yani nanii anamjua??? Unapoweka tangazo watu wanauliza hii bendera ya wapi? Then anapogoogle anakutana na Mt. Kilimanjaro, Serengeti etc hata agents wa watalii wanaona.

Let's be positive. Wakati mwingine ukiwa kiongozi halafu unafanya mema watu wanaibuka namna hii ndio unajikuta unasema wacha nipige hela zangu nimalize muda nikastaafu kwa raha.

Let's show appreciation kwa kufikiria positively, imagine Will Smith, Angelina Jolie wanapokuja wanalala Grumeti kule Serengeti wanaacha bei gani? Chumba kulala dola 2000 per night hapo hajataka kiwe customised ambapo huwa mpaka 12,000 dollars per night.

Sasa lazima tujiulize mtu mwenye hela zake aliyezoea kwenda Hawaii, Malibu, Malta, Santorini nk anaanzaje kujua mlima Kilimanjaro, Serengeti nk wakati agents wake wanachojua ni Alps mountains, Niagara falls nk? Lazima tukubali tutumie pesa ndio pesa itakuja, the fact tuna hivi vivutio haimaanishi kwingine hakuna, yaani Malaysia wanajitangaza CNN, Croatia, Switzerland yenyewe, Netherlands, sisi ni nani tusitangaze ili wajue? Tukiacha wataenda Kluger National park au Nairobi National Park or Masai Mara nako Kuna Simba, chui etc then tutaanza kulalamika.

On my side, Dubai is the best spot kwa kutangaza kwa sasa Tena tunapaswa kufungua information centre pale ambayo TIC na ministry ya utalii kwa maana ya Tanapa na foreign affairs wawepo pale Kama tourist information centre maana matajiri wa dunia na watu wengi sana wapo pale kustarehe so wanapata muda wa kuangalia na kuuliza hii ni wapi? Then atajiuliza Kuna nini huko mbona wameweza kutangaza?? I believe ni wazo zuri sana na la kupongezwa forget about gharama ya Tangazo 157 million think about Return On Investment.

Najua nitashambuliwa Ila tuwe positive sometimes.
EeeenHeee Heee!

Watu kama nyinyi hamkosekani.

Ngoja nikukumbushe ulichosahau katika 'stori' yako ya kusadikika ili ipate kunoga zaidi. Hujasikia habari ya uwekezaji uliopatikana kutokana na juhudi zilizofanywa? Trillion 17; wengine wanasema Billioni saba za pesa za ukweli!

Haya, nenda kanogeshe 'stori' yako zaidi kwa habari hio mpya uliyosahau kuiweka ili ujisikie vizuri zaidi.
 
Tatizo la kuamka na hangover hebu kunywa supu kwanza, hizo billions alizopata mie Sina ishu nazo na siongelei hapa kabisa hizo ni mambo ya miradi mingine ambayo walishamaliza maongezi na walikuwa kwenye stage ya kusaini Ila Rais huwa anatumia lugha fulani nyepesi kwamba "kuna vijifedha amepata'. Actually sijaongelea kabisa issue hizo Zina mihemko watu Wana njaa wakisikia anatana hela wao tayari wanaweka na zao kwamba ameiba basi asitaje kabisa.

Anyway nimeongelea masuala ya kujitangaza nchi kwa kuvutia uwekezaji zaidi na utalii na madini nk. Nilichoandika ni kutokana na mleta mada alivyowasilisha na pia nilikuwa najibu kwa mtu aliyesema wametumia milioni 157 kuweka hilo tangazo. Labda uanze upya kusoma ndipo usome taratibu hii response yangu then uje Tena.

Nakuona unalohangaika kuhusu trilioni 17 hizo sio hard cash ni uwekezaji kulingana na makubaliano kadhaa waliyosaini mawaziri alioenda nao. Na hizo pesa sio amerudi nazo kwenye pochi mzee. Subirini viwanda vije watu waajiriwe hii sio vile viwanda elfu kumi kila mkoa mlidanganywa sana na ajira mkakosa maana mnaaminishwa kwenye mambo ya zinduna how possible can it be uwe na viwanda sijui elfu arobaini kila mkoa na huyu philipo mpango ndio alikuwa bingwa wa cooked data.

Tulia usome uelewe.
 
Back
Top Bottom