Jenista Joakim Mhagama

Jenista Joakim Mhagama

In March 2007, Dr. Kazibwe married prominent Ugandan businessman and long term boyfriend Habib Kagimu.
 
In March 2007, Dr. Kazibwe married prominent Ugandan businessman and long term boyfriend Habib Kagimu.

U have no idea wot ur talking abt..... umekurupuka na kukuimbilia copy and pate tu bila hata kuusoma mjadala vizuri.

Ushauri wa bure: soma tena halafu utaona ulicho copy na ku paste kinathibitisha niliyo yasema!
 
Mkuu,

Acha kutu tukania dada na mama zetu, usaliti katika masuala ya ndoa unatokea kwa pande zote mbili waume na wake na usichukue isolated cases na kuwahukumu watu wote. Umetoa mfano wa rafiki yako alie msomesha mkewe mpaka chuo kikuu na baada akamsaliti mumewe iweje case hiyo moja au kama kuna nyingine 100 ndio iwe hukumu kwa akina mama zaidi ya milioni 20 Tanzania? Je na mimi nikitoa mfano wa "rafiki" yangu alianza ground zero na mkewe na baada ya kupata ulaji akamtupa na kuchukua totoz itatosha kuwa ni hukumu kwa wanaume wote?

Ni muhimu tuwe makini katika masuala ya ndoa za watu hili jamvi ni kubwa na linasomwa na wengi, sikutarajia mtu calibre ya Philemon Michael kutoa maoni ya ki ze utamu utamu. Tokea awali ulianza kupotosha na kumtaja mumewe Ghasia kwa jina silo umesahihishwa sasa unakuja na blah blah za "rafiki" yako.

.....nadhani umesoma kwa makini maoni yangu ...opening remark niliyotoa ilihusu ...kina mama ambao huwaacha waume zao pale wanapokuwa wakubwa[hasa nikishangaa kitendo cha mumewe kuwa ubalozini india wakati ambako ndio angetakiwa aendelee kumtia nguvu mkewe.,though that is too personal]......lakini ungeeenda mbele zaidi conclussion niliyotoa siku generalize ..nilisema wazi kuwa sio wanawake wote wanaowakimbia waume zao ...na nikasema wazi kuwa wanaume ndio wanaongoza kwa kutelekeza wake zao...ingawa mwanamme akitelekeza hurudi muda woowote tofauti na mwanaume akitelekezwa yeye huamua kutoa talaka kabisa...kama ilivyotokea kwa engneer kazibwe...alipotupiwa virago nje na makamu wa rais wa uganda[aliyekuwa]...
 
..mila na tamaduni zetu ziko harsh sana kwa wanawake wanaotembea nje ya ndoa zao.

..wanasiasa wanaume wa Tanzania wako immune na hizi kashfa za kutembea nje ya ndoa.

.kwa mfano: kuna mchangiaji hapa alikuja na kuwalaani wanafunzi wa kike wa UDOM kwa kujiachia-achia wakati wa vikao vya Bunge. kitu cha ajabu kabisa hakuelekeza lawama zozote zile kwa waheshimiwa wabunge wanaume wanaosemekana kutembea na wasichana wa UDOM.
 
HESHIMA aliyonayo Mwanamke ni kubwa kuliko Mwanaume.
Ndiyo maana Mwanamke AKIFANYA JAMBO basi linakuwa JAMBO.
 
Back
Top Bottom