Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In March 2007, Dr. Kazibwe married prominent Ugandan businessman and long term boyfriend Habib Kagimu.
Mkuu,
Acha kutu tukania dada na mama zetu, usaliti katika masuala ya ndoa unatokea kwa pande zote mbili waume na wake na usichukue isolated cases na kuwahukumu watu wote. Umetoa mfano wa rafiki yako alie msomesha mkewe mpaka chuo kikuu na baada akamsaliti mumewe iweje case hiyo moja au kama kuna nyingine 100 ndio iwe hukumu kwa akina mama zaidi ya milioni 20 Tanzania? Je na mimi nikitoa mfano wa "rafiki" yangu alianza ground zero na mkewe na baada ya kupata ulaji akamtupa na kuchukua totoz itatosha kuwa ni hukumu kwa wanaume wote?
Ni muhimu tuwe makini katika masuala ya ndoa za watu hili jamvi ni kubwa na linasomwa na wengi, sikutarajia mtu calibre ya Philemon Michael kutoa maoni ya ki ze utamu utamu. Tokea awali ulianza kupotosha na kumtaja mumewe Ghasia kwa jina silo umesahihishwa sasa unakuja na blah blah za "rafiki" yako.
HESHIMA aliyonayo Mwanamke ni kubwa kuliko Mwanaume...mila na tamaduni zetu ziko harsh sana kwa wanawake wanaotembea nje ya ndoa zao.
..wanasiasa wanaume wa Tanzania wako immune na hizi kashfa za kutembea nje ya ndoa.
.kwa mfano: kuna mchangiaji hapa alikuja na kuwalaani wanafunzi wa kike wa UDOM kwa kujiachia-achia wakati wa vikao vya Bunge. kitu cha ajabu kabisa hakuelekeza lawama zozote zile kwa waheshimiwa wabunge wanaume wanaosemekana kutembea na wasichana wa UDOM.