- Thread starter
- #21
Hatari mno nduguSijawahi kumuelewa huyu mama. Hata kumsikiliza naona ni kupoteza muda. Kuna siku alifanya ziara kipindi cha Magufuli na eneo hilo nilikuwepo. Mpaka leo namuona sio binadamu wa kawaida. Mwanamke gani mwenye roho ya kikatili namna ile kwasababu ya cheo tu? Mungu anisamehe ila namuangalia tu natikisha kichwa.