Jenister Mhagama wa Awamu ya Tano akikutana na huyu wa Awamu ya Sita watapigana sana

Jenister Mhagama wa Awamu ya Tano akikutana na huyu wa Awamu ya Sita watapigana sana

Sijawahi kumuelewa huyu mama. Hata kumsikiliza naona ni kupoteza muda. Kuna siku alifanya ziara kipindi cha Magufuli na eneo hilo nilikuwepo. Mpaka leo namuona sio binadamu wa kawaida. Mwanamke gani mwenye roho ya kikatili namna ile kwasababu ya cheo tu? Mungu anisamehe ila namuangalia tu natikisha kichwa.
Hatari mno ndugu
 
Back
Top Bottom