PreGE2025 Jerry Muro aitisha press kumjibu Gwajima kuhusu utekaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Madaraka ya uteuzi kumbe ni matamu sana!!! Jerry Muuro baada ya kutolewa Ukuu wa Wilaya ndo kachuja hivi?!!
Gwajima kasema ukweli kabisa!!
Watu wanatekwa na kuuawa kama Kuku!!!
Soka , Mdude na wengine wako wapi?!
 
Pumbavu lingine hili nalo. Linakumbushia uwepo wake kwa wateuzi.
 
Kuna clip moja Pascal Mayalla anaeleza alichopitia baada ya kumuuliza JPM kuhusu mambo kadhaa aliyoamua kama hayavunji katiba.

Alichokuja kugundua ni kuwa matatizo yaliyomsibu hayakuwa ya JPM. Ni baadhi ya watu wa katikati ambao walikuwa wanatekeleza yale waliyoyataka.

Na alienda mbali zaidi na kusema wale watu bado wapo kazini....inafikirisha sana
 
Vitu vingine Vipo Juu ya Uwezo wake Atulie tu
Sio kila Jambo Ananafasi yakulielezea.
Mungu ibariki Tanzania
 
Jerry jiangalie yasikukute ya DAB. Itaanzia kwenye press conference mpaka madhabahuni. Natumaini wewe Jerry ni msafi, vinginevyo faili lako lililoko usalama litawekwa wazi kwa Gajiboy.
 
Huyo kaandaliwa kupunguza makali ya askofu
 
Reasoning ya hawa watu ni taabu tupu...Walimu/ Lecturers wetu huo vyuoni, ongezeni maarifa ya kutufundishia watoto wetu huko ili wawe na uwezo bora wa kuchambua mambo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…