Kwahiyo hapa huyu Jerry anamjibu Gwajima kama nani wakati wakuu wake wameufyata? Wao si ndio walikuwa waje kujibu na kutoa ufafanuzi kama wanachukua ushauri wake ama lah?
Ndio anatafuta teuzi kwa nguvu?
"Luhaga Mpina akinyimwa nafasi ya kuongea bungeni huchangia kwa maandishi, atachangia kwa maandishi na akitoka ataongea vyombo vya habari kile ambacho amechangia kwa maandishi, kwanini hata hukuchangia kwenye maandishi baba yangu haya mawazo yako?"
"Na unajua kabisa kwa mujibu wa katiba yetu, hili haliwezekani kwa sasa. Unajua kwa Katiba tuliyonayo ushauri wako hauwezekani kwa sababu Katiba ndio tunaiangalia kwa sasa. Kwanini unaleta ugumu katika mambo ambayo sio?"
"Umesema kwamba hawa vijana wetu wa majeshi hawa ambao wanafanya kazi nzuri waongezewe mishahara. Juzi tu Rais ametoka kuongeza mishahara ya kima cha chini ya watumishi wa umma. Nilidhani ungeanza kuwa kumshukuru Mheshimiwa Rais kwa kuongeza mishahara"
"Kitu kingine ambacho hujui ni kama unamchonganisha Rais na vijana wa idara na wanajeshi pasipo kujua ni katika kipindi cha Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, maslahi ya wapiganaji wetu, wanajeshi wetu yameongezeka kwa asilimia 18.4 katika kupatiwa vifaa, nyumba bora"
Anaropoka hovyo aijatokea, Liwe somo kwa serikali sijui CCM; sio kila mtu wa kuwajibia...Jerry Muro amekosea tena. Suala la Imran Kombe kuuwawa lilimalizwa kwa Polisi waliompiga risasi kushtakiwa mahakamani na kuhukumiwa kifungo.
Hili neno Umenikumbusha mbali Sanaa kwa Sasa hapa Tanzania halitumiki Sanaa 😊Kabobo juu ya kabobo.
Kwahiyo hapa huyu Jerry anamjibu Gwajima kama nani wakati wakuu wake wameufyata? Wao si ndio walikuwa waje kujibu na kutoa ufafanuzi kama wanachukua ushauri wake ama lah?
Ndio anatafuta teuzi kwa nguvu?
"Luhaga Mpina akinyimwa nafasi ya kuongea bungeni huchangia kwa maandishi, atachangia kwa maandishi na akitoka ataongea vyombo vya habari kile ambacho amechangia kwa maandishi, kwanini hata hukuchangia kwenye maandishi baba yangu haya mawazo yako?"
"Na unajua kabisa kwa mujibu wa katiba yetu, hili haliwezekani kwa sasa. Unajua kwa Katiba tuliyonayo ushauri wako hauwezekani kwa sababu Katiba ndio tunaiangalia kwa sasa. Kwanini unaleta ugumu katika mambo ambayo sio?"
"Umesema kwamba hawa vijana wetu wa majeshi hawa ambao wanafanya kazi nzuri waongezewe mishahara. Juzi tu Rais ametoka kuongeza mishahara ya kima cha chini ya watumishi wa umma. Nilidhani ungeanza kuwa kumshukuru Mheshimiwa Rais kwa kuongeza mishahara"
"Kitu kingine ambacho hujui ni kama unamchonganisha Rais na vijana wa idara na wanajeshi pasipo kujua ni katika kipindi cha Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, maslahi ya wapiganaji wetu, wanajeshi wetu yameongezeka kwa asilimia 18.4 katika kupatiwa vifaa, nyumba bora"
"Ndugu yangu Gwajima, kwanza nataka tuungane mimi na wewe, pamoja na viongozi wote wa Serikali na wananchi, tukiongozwa na Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kulaani vitendo vya utekaji, kulaani vitendo vya watu kupotea, kulaani vitendo vya watu kuuawa. Kama ulivyosema, na mimi naungana na wewe katika kuendelea kumuuomba Mungu atusaidie, damu za Watanzania wasio na hatia zisiendelee kumwagika."
Kuwadanganya Wana Jf ni kazi Sana😊 LABDA akakusanye watu wa low IQ wa huko ndani ndani.Anaropoka hovyo aijatokea, Liwe somo kwa serikali sijui CCM; sio kila mtu wa kuwajibia.
Jamaa anajaribu balaa ndio anazidi kulipaka matope Jeshi la polisi.
Huyu nae ni kiongozi wa nchi hii? mbona kama ni katumwa ivi? na bado anapendelea upande live kabisaDuh aiseee mwendo wa press conferenc
Kwahiyo hapa huyu Jerry anamjibu Gwajima kama nani wakati wakuu wake wameufyata? Wao si ndio walikuwa waje kujibu na kutoa ufafanuzi kama wanachukua ushauri wake ama lah?
Ndio anatafuta teuzi kwa nguvu?
"Luhaga Mpina akinyimwa nafasi ya kuongea bungeni huchangia kwa maandishi, atachangia kwa maandishi na akitoka ataongea vyombo vya habari kile ambacho amechangia kwa maandishi, kwanini hata hukuchangia kwenye maandishi baba yangu haya mawazo yako?"
"Na unajua kabisa kwa mujibu wa katiba yetu, hili haliwezekani kwa sasa. Unajua kwa Katiba tuliyonayo ushauri wako hauwezekani kwa sababu Katiba ndio tunaiangalia kwa sasa. Kwanini unaleta ugumu katika mambo ambayo sio?"
"Umesema kwamba hawa vijana wetu wa majeshi hawa ambao wanafanya kazi nzuri waongezewe mishahara. Juzi tu Rais ametoka kuongeza mishahara ya kima cha chini ya watumishi wa umma. Nilidhani ungeanza kuwa kumshukuru Mheshimiwa Rais kwa kuongeza mishahara"
"Kitu kingine ambacho hujui ni kama unamchonganisha Rais na vijana wa idara na wanajeshi pasipo kujua ni katika kipindi cha Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, maslahi ya wapiganaji wetu, wanajeshi wetu yameongezeka kwa asilimia 18.4 katika kupatiwa vifaa, nyumba bora"
"Ndugu yangu Gwajima, kwanza nataka tuungane mimi na wewe, pamoja na viongozi wote wa Serikali na wananchi, tukiongozwa na Rais wetu na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kulaani vitendo vya utekaji, kulaani vitendo vya watu kupotea, kulaani vitendo vya watu kuuawa. Kama ulivyosema, na mimi naungana na wewe katika kuendelea kumuuomba Mungu atusaidie, damu za Watanzania wasio na hatia zisiendelee kumwagika."
"Vitendo vya utekaji na kupigwa risasi nataka nikurudishe nyuma kidogo, vitendo hivi vilikuwepo au labda kwa sababu tulikuwa hatuna maendeleo ya sayansi na teknolojia.
"Tulikuwa na viongozi wa serikali wakina Oscar kambona, Edwin Mtei, Abdulrahmin Babu na ambavyo walikimbia kwenda ughaibuni baada ya kuhitalifiana na Nyerere. Natakanikuulize hivi ukisoma sana hivi vitabu hakuna sehemu inakwambia wale ambao hawakuweza kukimbia, wale ambao hawakuweza kukimbia na kupanda, hivi walikutana na kitu gani hasa?"
Kbs kuruka ruka kwa maharage ndy kuiva kwakeAnaonekana tu hajajipanga kuongea, hana hoja ya msingi; anaruka ruka mno.
Hoja ya msingi hanaHuyu angekaa mbali kabisa na Gwajima, tena hawezi fanya mdahalo nae hata chembe
Nitashangaa kama Gwajima atakuwa na muda wa kujibu huu utoto.Kuwadanganya Wana Jf ni kazi Sana😊 LABDA akakusanye watu wa low IQ wa huko ndani ndani.
Jerry anachochea yaan anataka kumchongea GWAJIMA kwa mamlaka...wakati GWAJIMA ndie aliwasanua kina lema kua watimke watauwawa enzi za mwendazake.
Natamani GWAJIMA atoke Tena kumjibu Jerry na alisema atatoka hata Mara 10 kutoa ufafanuzi.
Jerry ni chawa pro maxJerry anapotosha issue ya Imran kombe..
Ati anasema mpaka Sasa kwamba haijulikani walio muua Imran kombe.... Kifupi kapotosha umma
Issue ya zombe wauaji ambao ni maaskari wanasema walifananisha GARI LA Imran kombe na gari la mfanya biashara lililo ibiwa.
Sijajua mpaka Sasa hoja halisi ya Jerry ni Nini hasa anaongea ongea..naona anatamka tamka majina na maneno sioni mantiki Wala hoja pia anaongea kwa tahadhari Sanaa