PreGE2025 Jerry Muro aitisha press kumjibu Gwajima kuhusu utekaji

PreGE2025 Jerry Muro aitisha press kumjibu Gwajima kuhusu utekaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nitashangaa kama Gwajima atakuwa na muda wa kujibu huu utoto.

Sana sana polisi watueleze waliwafanya nini waliopishana na JKN maana jamaa anadai kumbe uuaji wameanza zamani kwa mujibu wa Jerry.
Anasema eti GWAJIMA anamshambulia RAISI SAMIA.

Sijaona hoja za Jerry Zaid ya kuongea ongea na anasema eti GWAJIMA anataka kushindana na mama Samia huyu Jerry...shame on him.
 
Ivi mnajua gwajima kaleta habari za uchochezi, anachochea wananchi kuichukia gvnt yao na ndani ya gvnt wachukiane,je ana ushahidi gani kuwa wanaoteka na kuua ni serikali? Anao ushahidi? Kama hana kwa nini asifunguliwe mashtaka ya uchochezi?
 
Chama dola kimeamua kuchukua social Media baada ya Chadema kuchukua mda mrefu akili mtu wangu
 
Ivi mnajua gwajima kaleta habari za uchochezi, anachochea wananchi kuichukia gvnt yao na ndani ya gvnt wachukiane,je ana ushahidi gani kuwa wanaoteka na kuua ni serikali? Anao ushahidi? Kama hana kwa nini asifunguliwe mashtaka ya uchochezi?
Wanauliza wakina Soka wako wapi na Uchukunguzi wa mzee Kibao nyie mnaleta propaganda come on huwezi kujibu ukweli kwa propaganda za Uongo
 
Kaona game za SIMBA zimeisha hajapata attention yoyote naona kaibukia kwa Gwajima. Enzi zako Jeery zimepita wewe njoo tuendelee na ile project yetu ya kuandika uliyoniachia mwenyewe
Bora wewe umeongea kama ile interview ya Jesica Mgufuli ili-uploadiwa siku ya kwanza ya Lissu kwenda mahakamani. Halafu jamaa akaja ku-upload upya akasema imerekebishwa sauti. Watanzania hatujui kusoma na kutathmini matukio aisee.
 
Jerry ni chawa pro max
Yaan,
Uchawa utaharibu hili taifa yaani watu wamekua wa binafsi Sana Sanaa.

Mbona hawajibu hoja za GWAJIMA na watanzania kwa ujumla wake

Jerry kaamua kufanya personal attack kwa GWAJIMA eti aliahidi kupeleka watu ulaya, eti zile boti za uvuvi zipo wapi.

Huyu Jerry ni chawa pro max 🤣
 
Mtanange mpya kiwanjani.. Tafuteni popcon kabisa mkae mkao wa kula😂
 
Gwajima hapassi kumjibu huyu kichaa kwanza hana hoja ,asubiri boss wao atakapojibu na yeye ndo ampasue hawa dagaa wanaotafuta uteuzi wanakuja kufanya spin hakuna cha maana watasema.
 
Maneno mengiiiiiiiii ,kwa kifupi gwajima amesema utekaji unaendelea una baraka za SIRIKALI ndiyo maana wanaotekwa SIRIKALI ipo kimya haisemi chochote ,ndiyo maana akasema kama Abdul akitekwa na kutoboloewa macho SIRIKALI itaendelea kukaa kimya?
 
Back
Top Bottom