PreGE2025 Jerry Muro aitisha press kumjibu Gwajima kuhusu utekaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The main difference between FOOLS and BRAVES is that, Braves always speak when they have something to say, but FOOLS speak because they have to say something.
 
Ebu watu waache upuuzi, mambo aliyo ongea Gwajima sio yaku compromise.
Wahusika wanatakiwa kuchukua hatua, vitendo viovu vinaongezeka.
Damu za watu waliopotea zinaitia laana Nchi.
Wote kwa pamoja bila kujali vyama tukemee aya mambo sio kupakana mafuta.
Kuna majitu kwasasa hayaogopi kuteka na kuua na kwa utetezi wa hovyo wa namna hii, Ayo majangili yanafurahi na kuendelea kuteka nakuua watu.
 
Jerry anapotosha issue ya Imran kombe..
Ati anasema mpaka Sasa kwamba haijulikani walio muua Imran kombe.... Kifupi kapotosha umma
Issue ya zombe wauaji ambao ni maaskari wanasema walifananisha GARI LA Imran kombe na gari la mfanya biashara lililo ibiwa.

Sijajua mpaka Sasa hoja halisi ya Jerry ni Nini hasa anaongea ongea..naona anatamka tamka majina na maneno sioni mantiki Wala hoja pia anaongea kwa tahadhari Sanaa
 
..Jerry Muro amekosea tena. Suala la Imran Kombe kuuwawa lilimalizwa kwa Polisi waliompiga risasi kushtakiwa mahakamani na kuhukumiwa kifungo.
Anaropoka hovyo aijatokea, Liwe somo kwa serikali sijui CCM; sio kila mtu wa kuwajibia.

Jamaa anajaribu balaa ndio anazidi kulipaka matope Jeshi la polisi.
 
Kuishi mitaani bila ajira sio kitu chepesi, lazima ujigeuze kuwa mdudu anayependà uchafu ili uweze kuishi. Chawa
 
Anaropoka hovyo aijatokea, Liwe somo kwa serikali sijui CCM; sio kila mtu wa kuwajibia.

Jamaa anajaribu balaa ndio anazidi kulipaka matope Jeshi la polisi.
Kuwadanganya Wana Jf ni kazi Sana😊 LABDA akakusanye watu wa low IQ wa huko ndani ndani.

Jerry anachochea yaan anataka kumchongea GWAJIMA kwa mamlaka...wakati GWAJIMA ndie aliwasanua kina lema kua watimke watauwawa enzi za mwendazake.

Natamani GWAJIMA atoke Tena kumjibu Jerry na alisema atatoka hata Mara 10 kutoa ufafanuzi.
 
Àa
Huyu jamaa ana marinda kweli? Mbona anaongea kama gasho?
 
Nitashangaa kama Gwajima atakuwa na muda wa kujibu huu utoto.

Sana sana polisi watueleze waliwafanya nini waliopishana na JKN maana jamaa anadai kumbe uuaji wameanza zamani kwa mujibu wa Jerry.
 
Jerry ni chawa pro max
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…