PreGE2025 Jerry Muro aitisha press kumjibu Gwajima kuhusu utekaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Anasema eti GWAJIMA anamshambulia RAISI SAMIA.

Sijaona hoja za Jerry Zaid ya kuongea ongea na anasema eti GWAJIMA anataka kushindana na mama Samia huyu Jerry...shame on him.
Kumbuka Jerry Muro yupo out of the system

Kwahiyo anaweza kuitumia hii issue Kama njia ya kulamba tena U-DC kwakuwa mtaani kugumu Sana .

Mwanamke ukimtengenezea hofu na ukaonesha kumpa suluhisho la hiyo hofu lazima utamu-win

Na hii ni dark psychology

So Muro kaamua kutumia back door kurudi katika system maana alishasahulika
 
No reform no election ndiyo habari ya mjini, hizo habari za wasakatonge kwetu hazina nafasi. Watajuana wenyewe.
 
Ivi mnajua gwajima kaleta habari za uchochezi, anachochea wananchi kuichukia gvnt yao na ndani ya gvnt wachukiane,je ana ushahidi gani kuwa wanaoteka na kuua ni serikali? Anao ushahidi? Kama hana kwa nini asifunguliwe mashtaka ya uchochezi?
Ngoja nikupe kitu.....

Wewe hapo andaa kikundi Cha siri... Kisha nenda usiku sehemu hata na bastola....vamia nyumba ya mtu , teka mtu Kisha ondoka naye...

Nakuhakikishia huwezi kumaliza wiki mbili hujakamwatwa na Jeshi la Polisi..

Lakini Hawa wengine tunaowaita WASIOJILIKANA....hata wakiteka mchana kweupe...hawadakwi nakuhakikishia Hilo....


Sasa Jiulize je ...hao WASIOJILIKANIKA ...Wana nguvu Gani ?

Unajua shule za kitanzania hawafundishi reasoning...hawafundishi critical thinking...kufikiria nje ya box....

Ina maana wewe kwa akili Yako ya kuzaliwa huwezi wajua wanaoteka ?

Nakupa mfano...dereva wa daladala route ya Chanika alimgonga OCD...
Akatoroka..Tena bila Kwenda nyumbani...akatupa simu... Akaenda kujificha kijijini...Tena aliingia usiku na hakuwa anatoka nje...
Walikuja watu watano tuu wamevaa kiraia akatolewa kwenye nyumba ya udongo...kijijini wanashangaa Nini kinaendelea...hiyo ndio Polisi wa Tanzania wakiwa wameamua kutafuta mtu....lakini siyo WASIOJILIKANA
 
Ivi mnajua gwajima kaleta habari za uchochezi, anachochea wananchi kuichukia gvnt yao na ndani ya gvnt wachukiane,je ana ushahidi gani kuwa wanaoteka na kuua ni serikali? Anao ushahidi? Kama hana kwa nini asifunguliwe mashtaka ya uchochezi?
Tuambie wewe, nani anateka na kuua watanzania, na angalia ulivyokuwa lofa..eti afunguliwe mashtaka ya uchochezi, pumbaf sana
 
Ni hatare Sanaa kuzima data za akili kwa ajiri ya kutafuta teuzi watu wa aina hii ni hatare Sana kwa taifa yaani simple logic ni kua GWAJIMA amehoji kwa Nia njema then wao kina muro wanataka kutu BLACKMAIL.

Kwanini wasifikirie kujiajiri? Kwanini wasiwaze kutengeneza ajira kwa vijana maana wamekua viongozi na Wana exposure kubwa TU Maisha sio lazima uwe mbunge ama DC, RC kuwa na vijana WASAKATONGE Kama Jerry yupo tayar kufanya chochote ili kuwa furahisha watawala hata KUUA MTU/WATU kwa manufaa yao binafsi hii haikubaliki.
 
Yes alikuwa anatafuta ngazi ya kupandia juu kaipata

Anajibu mashambulizi ili kufurahisha genge lake kwakuwa anajua loophole ilipo
 
Wanauliza wakina Soka wako wapi na Uchukunguzi wa mzee Kibao nyie mnaleta propaganda come on huwezi kujibu ukweli kwa propaganda za Uongo
uchunguzi huchukua muda gani kukamilika? Kama hauna muda maalumu basi tuvute subra watanzania.
 
tia zisiendelee kumwagika."

"Vitendo vya utekaji na kupigwa risasi nataka nikurudishe nyuma kidogo, vitendo hivi vilikuwepo au labda kwa sababu tulikuwa hatuna maendeleo ya sayansi na teknolojia.
Kipande hiki jamanii mpaka nimetapika ugali wangu so kama vilikuwepo ina maana viendelee kuwepo sad
 
Huyu hana hadhi ya kumjibu gwajima,anabweka tu
 
Siwa mzee wa watu hana tatizo na Mtu

..hakuna vetting huko Ikulu.

..kwanini uteue mkuu wa taasisi ambaye amebakiza muda mchache astaafu?

..Na kuna wengine wanaodai Ally Siwa aliteuliwa akiwa tayari amestaafu.
 
Ivi mnajua gwajima kaleta habari za uchochezi, anachochea wananchi kuichukia gvnt yao na ndani ya gvnt wachukiane,je ana ushahidi gani kuwa wanaoteka na kuua ni serikali? Anao ushahidi? Kama hana kwa nini asifunguliwe mashtaka ya uchochezi?

..wanaochonganisha serikali na wananchi ni watekaji, sio wanaopiga kelele utekaji uishe.
 
uchunguzi huchukua muda gani kukamilika? Kama hauna muda maalumu basi tuvute subra watanzania.
Hizo ndo hoja lakini propaganda kwenye huai wa watu sio nzuri wana ndugu tunapanda mbegu gani tufanye siasa za kuuza hoja.
 
Wanachofanya ni kupora platform ya kujadili mabadiliko ya Sheria na Kanuni za uchaguzi ambayo ndiyo imeshika kasi nchini, wanataka waitumie kwa marumbano ya wao kwa wao, habari za 'No Reform No Election' zinakuwa zimezikwa rasmi.
😂😂🙆
 
Ila kweli sisiem kuna malofa aisee, mtu kama huyu alipitaje pitaje huko shuleni.
 
Honestly nalisikitikia taifa langu, kama watu sampuli hii ndio public figures ni haki wakenya watudharau aisee. Inasikitisha
 
What a tardy, this guy is disgraceful, he is licking up. So the reason he is coming out against Gwajima is because he was given some favor by the disgraceful Samia. Watanzania got to wake up, do not vote for trashes like this punk. He doesn’t care about Tanzanians. It is painful to see a man licking up to get recognition from the top, disregarding all the ills of this government. He never at any point challenged Gwajima by addressing the issue at hand. This is craziness.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…