Tetesi: Jerry Muro na William Malecela ndani ya mpango wa hatari wa kuidhibiti timu ya Fiesta

Nafikiri kila mtu ana uhuru wa kuchagua wapi pa kwenda kwenye burudani, sidhani kama kuna mtu wa kushindana na Clouds FM maana mmesha kuwa wabobezi kwenye mambo ya burudani. Kama kuna namna wenzetu wenye ulemavu watapatiwa msaada na Mkuu wa Mkoa sawa tu, FIESTA HAITAPUNGUKIWA NA KITU.
 
Eti unajiona jinias kwa ushauri huu ambao lengo sio kumsaidia Makonda bali wewe mleta uzi na mawingu!
Fiesta mwisho saa sita, zaidi ya hapo hamieni kwenye ukumbi wenye sound proof!
 
mamaeeeeee wakati wapo pamoja mbona hatukuyaona haya
ila sitashangaa iyo siku hapo leaders wanatumia jenereta mwanzo mwisho maana lazima umeme ukatwe tu
clouds si wa kuonewa huruma kamwe hao ni nuksi kwa fitina hapa nchini
 
mi nashangaa sana jamaa na uzoefu wao wote wa kutoa burudani nchini jasho linawatoka kwa ishu ndogo kama hii na wakiendelea na woga huu EFM watawapiga bao la karne mwaka huu maana wao wanajua namna ya kutumika
 
Sheria ni msumeno, saa sita mwisho, kwisha kazi, anaetaka kufa kwa stampede hiyo na akafe tu huko kwenye fiesta, sheria haiangalii sura.
 
mamaeeeeee wakati wapo pamoja mbona hatukuyaona haya
ila sitashangaa iyo siku hapo leaders wanatumia jenereta mwanzo mwisho maana lazima umeme ukatwe tu
clouds si wa kuonewa huruma kamwe hao ni nuksi kwa fitina hapa nchini

Waache wapigwe maana waliyataka wenyewe,naona na wale wanaojiita EFM nao wanaenda huko huko wakishapata kichapo akili itakaa sawa
 
Unafiki bhana mnafk mzandiki utamjuwa
sasa fiesta ina umuhm gan kwa uyo makonda? au fiesta inamkwamisha makonda kaz zake? em tuangalie ya muhm ya kufanya kama clouds wenyew watavuruga itakuwa mbaya na sisi haitup faida yeyote anayeingiza pesa ni ruge na team yake...

leteni mambo ya kujenga nchi na sio use huu jamn
 
Naona nawewe ni wale wale umewahi kufanya Biashara yoyote japo ya Genge?
 

Ulitaka wafanyeje? Mkuu unaonyesha Ujasiri nyuma ya Keyboard Shuka Bongo uone watu wanayotendewa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…