Ahaaaaaaa!!!!!!Ndo maana Mr RUGE kakomaa na kampeni ya KAA..
Hahahah!!!.....kweli "ZIMBAMBWE"Zimbambwe
Kama sheria za nchi zinafatwa hakuna shida
Mkuu wa mkoa anahusikaje na Watu wanaoshika nyeti majukwaani
Kwanza nashukuru sijaukuta coz ningemaliza siku yangu vibayaHapo unatamani ungewahi usome niliandika nini.. wivu tupu umekujaaaaaa
Vipi bado unaisoma namba? Au nawewe unapenda kusoma udaku kama huu wa uzi huu usio na kichwa wala miguu.
Kwanza nashukuru sijaukuta coz ningemaliza siku yangu vibaya
Aisee sijui niseme namshukuru Mungu coz kati ya watu ambao hawajaathirika na huu utawala ni mm,maisha niliyokuwa naishi uongozi uliopita ndio ndio ninayoyaishi ss hivi
NIPO UPANDE WA MAKONDA LEO. HAO CLOUDS HIZO FURSA ZENU KUNA KITU KINAONEKANA MMEFANYA ANGALAU MAKONDA KUNA VITU ANAFANYA TUNAONA. LE MUTUZ NA MURO HUWA NAWAPINGA ILA KWA HAPA CARRY GO! HATA LEADERS ANDAENI MECHI YA SIMBA NA YANGA YA NDONDOMimi kwa Mara ya kwanza Niko upande wa makonda clouds wametunyanyasa mnooo
Let them enjoy their own taste
Muda wa Karma huu