Jerry Muro ni wa kutilia shaka sana ujio wake Dar | TAKUKURU Kuweni makini hapo

Kwa iyo huna taarifa kama haji anatakiwa na radio station nyingi akafanye uchambuzi wa habar za michezo??? [emoji848] [emoji848] [emoji15] [emoji15] Muulize Diamond anamtaka sana haji ila yy ndo hajawa tayari
Elimu ya madrasa haina faida yoyote Haji ameajiriwa kwa mdomo tu lakin Muro akiondoka hapo anarudi kutangaza kwenye TV au redio.Elimu ya madrasa inamsaidia mhusika tu na sio jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Jumatano ikiwa ni siku ya kazi, Mkuu wa Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha alikuwa katika studio za Wasafi Fm jijini Dar Es Salaam akihojiwa mambo ya michezo kuhusu Klabu ya Yanga.

Huo ni muda ambao alipaswa awe ofisini kule Arumeru akiwahudumia wananchi wake ili kuendana na kauli ya Hapa Kazi Tu. Je Dc Jerry Murro ni mtoro kazini? Au yupo likizo?
 
Kwa iyo huna taarifa kama haji anatakiwa na radio station nyingi akafanye uchambuzi wa habar za michezo??? [emoji848] [emoji848] [emoji15] [emoji15] Muulize Diamond anamtaka sana haji ila yy ndo hajawa tayari
hahaha kweli mbumbumbu hamna akili, haji atafanya uchambuzi gani huyo! huyo kawa maarufu kwa kuitukana yanga, sio mambo ya uchambuzi
 
Kwa iyo huna taarifa kama haji anatakiwa na radio station nyingi akafanye uchambuzi wa habar za michezo??? [emoji848] [emoji848] [emoji15] [emoji15] Muulize Diamond anamtaka sana haji ila yy ndo hajawa tayari

Na kwa Kumsaidia tu huyo Mdau kwani yawezekana ametokea Kijijini Kwao Iparagasi hivi karibuni ya kwamba Wachambuzi Waandamizi wa Kwanza wa Mpira hapa Tanzania walikuwa ni Watatu tu ambapo wa Kwanza alikuwa ni Dokta Leakey Abdallah, wa Pili ni Jamaa Mmoja hivi anaitwa Sapi na wa Tatu alikuwa ni Haji Manara huyu huyu Msemaji wa Klabu ya Simba. Tena hakuna Mtu ambaye akiutoa Usimba wake na akisema aamue Kuchambua Mpira ( Mipira ) ya ndani na nje ya Tanzania utapenda na utafurahi kwa Utaalam na Ufundi wake basi ni Haji Sunday Manara. Wale Wahenga Wenzangu najua watakumbuka na watakubaliana nami pia.
 
acha uongo wewe, haji kachambua wapi mpira? nakumbuka tuko wadogo kombe la dunia mchambuzi alikuwa dr. leakey, huyo haji sijawahi kumuona. labda anachambulia huko kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Elimu ya madrasa haina faida yoyote Haji ameajiriwa kwa mdomo tu lakin Muro akiondoka hapo anarudi kutangaza kwenye TV au redio.Elimu ya madrasa inamsaidia mhusika tu na sio jamii

Sent using Jamii Forums mobile app

Siku zingine jitahidi sana Kuficha Mapungufu yako makubwa ya Kifikra uliyonayo tafadhali. Na kama unakuwa huna au hujui CV ya Mtu basi ni vyema kabla hujaanza Kubwabwaja ukatumia muda wako Kuiulizia au Kufanya Utafiti wako. Nani aliyekudanganya kuwa Haji Manara ( Msemaji wa Simba SC) hajasoma? Tena kwa Kukusaidia zaidi amesoma japo hana hiyo Masters Degree ambayo anayo DC Jerry Muro ila Haji Manara ana Exposure kubwa, ameishi pia nje ( namaanisha Ulaya ) akiwa na Baba yake huko nchi ambazo nina uhakika pamoja na Kujitutumua Kwako hapa hadi unakufa kama siyo kufariki hutowahi Kwenda ( Kutembelea ) ng'o. Nje ya hapo Haji ana Elimu nzuri tu ya mambo ya Propaganda, Media and Communication halafu ni Mbunifu, ana uwezo mkubwa wa Ushawishi kuliko hata DC Jerry Muro. Na usisahau pia kwamba Haji Manara huu Mkoa wa Dar es Salaam ni wakwake lakini Wewe na Mwenzako DC Jerry Muro ni Wakuja watupu. Na hakuna Mtoto wa Mjini wa Kweli kama Haji Manara. Mwisho nakuuliza Swali umeshajua ni kwanini pamoja na jana DC Jerry Muro Kumchokoza vile Haji Manara ile jana na hata leo lakini Yeye Haji Manara Kanyamaza? Sababu ya Kunyamaza kwa Haji Manara utaijua leo Jioni Saa 12 baada ya Mechi baina ya Yanga SC na Gwambina FC ambapo kwa Kitakachotokea leo najua hakuna atakayeamini ( labda tu upepo ubadilike ghafla ) kuna Klabu fulani huenda leo wakaanza Kuchapana Bakora kutokea Uwanjani hadi Mabondeni Maporomokoni Kwao huku Kocha Wao Mzungu akikutana na Mabegi yake JNIA pale Terminal III akiwa ameshafukuzwa na Timu Kukabidhiwa na Mumewe Betty na Mtoto wa Marehemu Remmy Ongala ili waiongoze hadi mwisho wa Msimu. Nasisitiza tena labda Upepo ubadilike muda huu ila leo Mende kutoka Mwanza ataangusha Kabati Kubwa la Mabondeni Mafurikoni.
 
Nakutoa hofu Mdau leo Yanga SC anakufa kwa Goli 1 au anatolewa kwa Mikwaju ya Penati na Gwambina FC anasonga mbele.
 
acha uongo wewe, haji kachambua wapi mpira? nakumbuka tuko wadogo kombe la dunia mchambuzi alikuwa dr. leakey, huyo haji sijawahi kumuona. labda anachambulia huko kwenye vijiwe vya kahawa.

Huwa sipotezewi muda na Wapuuzi na Wavivu wa Fikra kama Wewe tafadhali.
 
Wewe ni zaidi ya kirusi cha korona

In God we Trust
 
Huyo Manara naona katoroka kwenye kambi yao kule korandoto
Nugaz, Bambuli, Muro wote wanapambana na De la boss ambaye yeye ni Jeshi la mtu mmoja, wataweza kweliiii Aaaaaa Wapiiiii..!

In God we Trust
 
acha uongo wewe, haji kachambua wapi mpira? nakumbuka tuko wadogo kombe la dunia mchambuzi alikuwa dr. leakey, huyo haji sijawahi kumuona. labda anachambulia huko kwenye vijiwe vya kahawa.
 
Muda si mrefu kuna mtu atakamatwa kwa kutakatisha fedha huko.

Hamuwezi kuwekeza mabilioni kwa siri siri halafu mnachangisha wananchi kutakatisha fedha zenu zisizojulikana zinatoka wapi.

Kuweni makini,mmeonywa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…