Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe

Msichokifahamu ni kwamba waziri SLAA ni MAGUFULI namba mbili, anapita kwenye njia ambayo viongozi wengi hawawezi kupita
Mama amempa baraka zote,ndiyo maana unaona haogopi Matapeli wa viwanja, maana hao matapeli wa viwanja wana nguvu kama ya wale wauuza madawa ya kulevya!!
 
Tuendelee kumsikiliza
 
Wakimalizana nae kwenye ardhi wamkabe kwenye ishu ya kumdhulumu Rose Mhando
 
Kupishana kupo katika utendaji, mbona huyo huyo Magufuli hakung'oa mabango alipoingia madarakani??? Hapa narudi kwenye uhalali wa kauli yako

Ila all in all, Magufuli alimpigia kampeni katika chaguzi zotebili na alimtaja kwa majina kuhusiana na utendaji wake

Rejea hotuba zake wakati anatambulisha mbunge mmoja mmoja katika kampeni za 2015& 2020
 
Mkimalizana nae kstika hili Mamlaka nyingine imkamate kwa Kosa la Kudhulumu Mishahara na Stahiki za Wafanyakazi ( Waandishi wa Habari ) wa iliyokuwa Media ( hasa Gazeti ) akiongozwa na Marehemu Dada Yamola.
'
 
Msichokifahamu ni kwamba waziri SLAA ni MAGUFULI namba mbili, anapita kwenye njia ambayo viongozi wengi hawawezi kupita
Mlinganisho uliofanya hauwezi kuwa sahihi katika mambo mengi. Lakini ninakubaliana nawe kinamna fulani, na inanifanya nianze kumtizama kwa jicho la kipekee zaidi kwa maana anajipambanua na makondoo wengi tunaowaona katika baraza lile la mawaziri. Hatari inayomkabili ni kuwa anafanya kazi katika mazingira magumu zaidi, huku anaowafanyia kazi (wateuzi wake) wakiwa upande tofauti na alipo yeye.
Kwa hiyo itabidi achunge sana namba, asije akajikuta anagusa waya inayounga moja kwa moja na maslahi ya wakubwa wake.
 
Mjinga wewe kinacho takuwa ni kuweka mifumo dhabiti sana ya uwajbikaj, swala sio kuwapata mawaziri watatu kama Slaaa, hizi ni hadaaa za kuwahadaa wapumbavu type yako.
Huo mfumo wako dhabiti upo wapi sasa, mjinga ni yule anayekurupuka kujibu bila kuelewa btn the lines.... Sisi tunasema tunataka utendaji ndio wenye matokeo kwa hali uliyonayo sasa wewe unaleta ujinga wako wa mfumo ambao umeshindwa hata kushauri unataka uweje huo mfumo wako
 
Apigwe huyu Mutu tapeli anayependa vya bure))
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…