Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe

Tungepata Mawaziri watatu tu kama Slaa nchi ingenyooka, Ardhi, Mambo ya ndani, Katiba na Sheria™
Ajenge system iwe rahisi na straight forward kupata umiliki na kutatua matatizo ya ardhi nchi nzima katika utaratibu wa haraka na unaoeleweka, hili la solution la viwanja viwili vitatu litasaidia Kwa muda tu watu wachache na akiondoka tutarudi nyuma zaidi
 
Zile siasa, na hawakuwa na mgombea mwingine huko ukonga, hivyo hakuwa na jinsi bali kumpigia kampeni aliyekuwa anakubalika jimboni kwa upande wa chama chao. Ingawa naye asinge shinda kama uchaguzi ungefanyika.

Marehemu magufuli alikuwa mtu wa visasi, ukimkosea anakupa live na anakuacha.
 
Msichokifahamu ni kwamba waziri SLAA ni MAGUFULI namba mbili, anapita kwenye njia ambayo viongozi wengi hawawezi kupita
Acha kulinganisha watu wasiofanana. Huyo marehemu wako hakuwa anatumia akili ndio maana aliigawa nchi na kuua watu wengi. Magufuli alikuwa km shetani aliharibu hii nchi hatutaki kumsikia tena, hakuna cha maana alicho-accomplish zaidi ya kupumbaza majinga km wewe.
 
Ahsante
 
Umesema kweli, lakini ninachozungumzia hapa ni kuwa wakati unasubiri hiyo system ambayo kwa mtazamo ni mchakato ambao haujulikani kama ni karne gani itapatikana basi walau tupate wazalendo kadhaa watakaokuwa na uthubutu wa kuona nyeupe na kusema nyeupe, nyeusi waseme nyeusi walau inasaidia kwa kiasi fulani, yaani ni kama huduma ya kwanza wakati unasubiri kupata Pesa ya matibabu ambayo nayo hujui ni lini Utaipata walau ukipata huduma ya kwanza utakuwa umesaidika
 
Aisee watu wnajificha kwenye kichaka Cha dini na CCM
 
Eti promota wa nyimbo za injili ,tamasha la pasaka?
Mkiambiwa dini ya ukristo ni kiota cha kile ndege mchafu muwe mnakubali.
Wezi kwa utapeli, waganga na wachawi , wapiga deal na watawala wamejificha kwenye dini.
Kuhusisha Ukristo na huyu Tapeli ni nje ya mada. Kwani hakuna matapeli WAISLAMU?
 
"Acha kulinganisha watu wasiofanana. Huyo marehemu wako hakuwa anatumia akili ndio maana aliigawa nchi na kuua watu wengi. Magufuli alikuwa km shetani aliharibu hii nchi hatutaki kumsikia tena, hakuna cha maana alicho-accomplish zaidi ya kupumbaza majinga km wewe"

Nimerudia kuweka mkazo, samahani lakini
 
Basi jamaa ana pepo la dhuluma. Angetulia pale ule mgahawa ulikuwa unafanya vizuri sana kibiashara. Hizo tamaa zimemponza.
 
Stop that! mkimtaja magufuli wengine tunahisi kutapika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…