Jerry silaa apewe u dk wa heshima kijana anapambania ardhi za wanyonge sana mapapa wamekosa amani nae

Jerry silaa apewe u dk wa heshima kijana anapambania ardhi za wanyonge sana mapapa wamekosa amani nae

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kati ya wizara inayonikosha kwa mama samia n wizara ya ardhi

Hii wizara ilijawa na wahunj kila anaeingia anataka kujaza na ardhi mkononi mwake na kusahau majukumu yaliomteua

Kati ya wizara bora mama amefanya uteuzi n wizara ya ardhi

Mdogo wetu kiumri jerey silaa kwanza una shida ana ingilika kabisakuna mawaziri walikuwa miungu watu

Una shida hata katibuwake humwoni

Sio hivyo jerry ameweza kwenda mikoani kupambana na mali za waalifu waliotapeli ardhi za masikini wakitumia wahuni wa wizara husika

Jerry silaa amekuwa open wala haoindishi kama umepigwa anakwambia umepigwa

Kama hakiyako anakwambia hakiyakooo bika kupinda

Rejea kichwa cha habari hapo juu naomba wizara husika imkumbuke jerry silla ktk hafla za karibuni kumpa u dk wa heshima kwa kujali watu wwenye shida mbali mbali huku mapapa wapiga ardhi wakiwa hoi bin taaabani
 
KATI YA WIZARA INAYONIKOSHA KWA MAMA SAMIA N WIZARA YA ARDHI

HII WIZARA ILIJAWA NA WAHUNJ KILA ANAEINGIA ANATAKA KUJAZA NA ARDHI MKONONI MWAKE NA KUSAHAU MAJUKUMU YALIOMTEUA

KATI YA WIZARA BORA MAMA AMEFANYA UTEUZI N WIZARA YA ARDHI

MDOGO WETU KIUMRI JEREY SILAA KWANZA UNA SHIDA ANA INGILIKA KABISAKUNA MAWAZIRI WALIKUWA MIUNGU WATU

UNA SHIDA HATA KATIBUWAKE HUMWONI

SIO HIVYO JERRY AMEWEZA KWENDA MIKOANI KUPAMBANA NA MALI ZA WAALIFU WALIOTAPELI ARDHI ZA MASIKINI WAKITUMIA WAHUNI WA WIZARA HUSIKA

JERRY SILAA AMEKUWA OPEN WALA HAOINDISHI KAMA UMEPIGWA ANAKWAMBIA UMEPIGWA

KAMA HAKIYAKO ANAKWAMBIA HAKIYAKOOO BIKA KUPINDA

REJEA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU NAOMBA WIZARA HUSIKA IMKUMBUKE JERRY SILLA KTK HAFLA ZA KARIBUNI KUMPA U DK WA HESHIMA KWA KUJALI WATU WWENYE SHIDA MBALI MBALI HUKU MAPAPA WAPIGA ARDHI WAKIWA HOI BIN TAAABANI
Ni mla rushwa haswa
 
Jerry hajajikita katika kuimarisha mifumo, ndio maana anachofanya ni sawa na hamna. Ajikite katika chanzo, sio matokeo, aangalie mbu wanazaliwa wapi, sio ajisifu kwa kutibu maleria
 
NAOMBA WIZARA HUSIKA IMKUMBUKE JERRY SILLA KTK HAFLA ZA KARIBUNI KUMPA U DK WA HESHIMA
Kenyatta: watanzania ni maiti zilizolala.
Trump: African countries are shithole countries.
Pieter botha: black people are not complete human beings- they are still in the process of evolution.
 
Kenyatta: watanzania ni maiti zilizolala.
Trump: African countries are shithole countries.
Pieter botha: black people are not complete human beings- they are still in the process of evolution.
That sound like a bitter taste🫠
 
Kenyatta: watanzania ni maiti zilizolala.
Trump: African countries are shithole countries.
Pieter botha: black people are not complete human beings- they are still in the process of evolution.
Kenyata, Trump & Pieter they are all Bull Shit!!
 
Back
Top Bottom