Watanzania wanahitaji nchi yao iwe na bunge, siyo upuuzi huo uliopo bungeni sasa, watu walioteuliwa na mtu mmoja, halafu akawaita wabunge. Ule ni uchafu ndani ya Taifa.Mnataka wafanyeje ili liwe halijadoda?
Uchengezi huo!
Mmezoea kusikia maadhabu au siyo!
Tufanye kama yameshapita!