Nchi nzima kwa sasa hakuna mtanzania anayefuatilia kinachoendelea bungeni. Hii ni kwasabb hadhi ya vikao vya bunge chini ya Ndugai imeshuka kiasi cha kufanana na vikao vya send-off.
Watu wengi wazito waliwahi kulisuta bunge hili. Mfano:-
"Bunge ni dhaifu".........Prof. Assad
"Bunge ni kibogoyo" ..@pascal Mayalla.
Sasa ili kulifanya hili bunge walau liongelewe Ndugai ameanzisha maigizo na akina Gwajima na Jerry Slaa. Wnachokifanya Jerry Slaa na Gwajima ni maigizo tu. Kwenda na vitabu vingi visivyotumika wala visivyoendana na muktadha wa suala lenyewe.
Gwajima anakataa kiti na microphone siku ya kwanza na siku inayofuata anagoma kukaa na kukubali mic. Ni maigizo at work.
Halafu ujinga huo kupewa headlines na media ili bunge lifuatiliwe.
Leo tunaambiwa Jery Slaa amegoma kufika mbele ya kamati hivyo akamatwe. Lkn wenye akili washajua hii ni episode tu ktk hiyo movie.
Bunge limechuja na limekosa mvuto.