Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Jf kama fb tu kwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhambi ya uchafuzi bado inawasumbua.Yeah,imefikia patamu,kwenye climax
Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Haki Maadili na Madaraka ya Bunge, Emmanuel Mwakasaka amesema ameomba kibali kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai cha kukamatwa kwa mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa baada ya kutofika katika shauri lake...
Kwani anajali basi ?Hata hili la Gwajima kukataa kukaa wakati wa kuhojiwa litamgharimu sana.
Na sisi Ukonga tunamtafuta maana toka kuapishwa atujamuona jimboni kwake
hakika ccm ni madhalimu.Haya ndiyo mambo Wabunge wetu wanayeweza.
Kero za wananchi kama tozo na changamoto nyingine hata huwa hawajali kivile.
Shame on them!
Drama to drama...!¡!
Nyie mnaweza mambo gani hadi mkawakubali hao wabunge wenu?Haya ndiyo mambo Wabunge wetu wanayeweza.
Kero za wananchi kama tozo na changamoto nyingine hata huwa hawajali kivile.
Shame on them!
Una uhakika hao ni Wabunge wetu?Nyie mnaweza mambo gani hadi mkawakubali hao wabunge wenu?