Jerry Silaa hajahudhuria shauri lake, Kamati yaomba kumkamata

Jerry Silaa hajahudhuria shauri lake, Kamati yaomba kumkamata

The road to 2025 on progress and the winner is ....
 
Gwajima alikataa kiti na maiki
Yeye katumia kiti na maiki
 
Kwanini wamlazimishe kama hataki?si wachukue maaamuzi tu.Sasa akija akagoma kuongea wataomba tena kibali cha kumfungua mdomo au?
 
Upuuzi gani huu wa kutishana kijinga. Sasa akishashikwa akaletwa kamati inaweza kumfunga kama hataki kuendelea kuhojiwa? Na kama tunafika huko kwa mbunge kutumia uhuru wake kutoa maoni kama taifa tunaenda wapi?
 
Kwani kufika au kutofika inatusaidia nini sisi Wananchi ?
 
CCM bhana !! sarakasi tupu !
ila huku hakuna salakasi? halafu jamaa walikuwa wana minyoo sijui walipokula hela ya lowasa tu wakanenepa

1629983718196.png

angalia msigwa utafikiri katoka porini
 
Huu ni upuuzi, baada ya kukaa vikao mje msaidie wananchi kuwatatulia kero zao nyie mnawaza kukamatana tu
 
Upuuzi gani huu wa kutishana kijinga. Sasa akishashikwa akaletwa kamati inaweza kumfunga kama hataki kuendelea kuhojiwa? Na kama tunafika huko kwa mbunge kutumia uhuru wake kutoa maoni kama taifa tunaenda wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Mwendazake
 
Wamvumilie kakosa kirikou ya kubeba mabuku mengine..Ila tumewasiliana naye anasema kesho must lazima afike.
Hivi wanamhoji nini MTU aliyesema kuwa wabunge hawakatwi Kodi? Hiyo nayo ni kesi ya kutaka MTU arudi kesho yake au ndo kuongeza per Diem? Wanaomhoji ni wabunge, majibu tayari wanayo. Wasituchoshe ngoja tumalizane na gaidi traffic kwanza
 
ila huku hakuna salakasi? halafu jamaa walikuwa wana minyoo sijui walipokula hela ya lowasa tu wakanenepa

View attachment 1909490
angalia msigwa utafikiri katoka porini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa wewe na jiwe mnatofauti gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya ndiyo mambo Wabunge wetu wanayeweza.

Kero za wananchi kama tozo na changamoto nyingine hata huwa hawajali kivile.

Shame on them!
Waliambiwa wakiwamaliza wataumama wenyewe na kweli sasa wananjooshana kisawasawa na bado%%%%%%%%
 
Back
Top Bottom