Watanzania wanahitaji nchi yao iwe na bunge, siyo upuuzi huo uliopo bungeni sasa, watu walioteuliwa na mtu mmoja, halafu akawaita wabunge. Ule ni uchafu ndani ya Taifa.Mnataka wafanyeje ili liwe halijadoda?
Uchengezi huo!
Mmezoea kusikia maadhabu au siyo!
Tufanye kama yameshapita!
Kwani hata hiyo miswada isipopitishwa, tutapungukiwa na nini?Kwa kwa maoni yako bunge lifutwe angalau kwa mwaka mmoja tuone tutapata hasara gani siyo? Swali kwako: Bajeti ya serikali nani ataipitisha? Au tupotezee maana hata iliyopitishwa haifuliwi? Miswaada na sheria mbalimbali nani ataipitisha? Au tupotezee mpaka tupate katiba mpya??
Genge la wahuni haliwezi kuwa na mvuto. Ni chukuzo kwa wanadamu na hata Mungu.Bunge halina mvuto
Kwa alichofanya Gwajima kinastahili adhabu kubwa na siyo onyo kama unavyodai.Wawapotezee tu au kuwapa onyo yaishe!
Siyo kila jambo lina adhabu!
Kweli kabisa hili bunge ni chukizo mbele za MUNGUGenge la wahuni haliwezi kuwa na mvuto. Ni chukuzo kwa wanadamu na hata Mungu.
Wanakula mishahara kwa Kodi zenu na hamjapingana.Una uhakika hao ni Wabunge wetu?
Hao walipigiwa kura au walipewa ubunge?hi kuna haja ya kuwa na bunge kweli....halina msaada hata kwa waliowapigia kula....