6 Pack
JF-Expert Member
- Apr 17, 2022
- 2,819
- 5,996
- Thread starter
- #141
Sasa unalindaje kitu kisichojengwa mkuu. Hata nyumba inabidi kwanza uijenge alaf ndo uilinde.Mi nalinda taifa na siyo kujenga
Mwl Nyerere alijenga kwanza misingi ya nchi na utaifa. Halaf ndo akailinda misingi hiyo isije kuanguka au kuharibiwa.