No one is indispensable, hivyo sii kweli kuwa hakuna mtu anajua mambo ya ardhi zaidi ya Jerry, watu ila hawajatafutwa, uwaziri hauombwi na hauna usaili!.
Kitu ambacho nakubaliana na wewe, Jerry did the best, amethubutu, ni kweli watu wenye uthubutu wa kiwango hicho ni wa kutafuta kwa tochi!.
Pia naunga mkono hoja yako its wrong kumteua mtu na kumtoa baada ya too short time, and he was the best performer, kama Konda Boy was the best kwenye uenezi na akatolewa baada ya muda mfupi.
Ukiwa unataka kwenda safari lakini hujui unataka kwenda wapi, huwezi kujua utumie njia gani, ili ufike kwasababu hujui unakwenda wapi, matokeo yake ni kutanga tanga na hufiki!.
Mimi kama naziona dalili za mtu kutanga tanga kwa mbali, as if baadhi ya teuzi zinafanywa kwa gues work and trial and error, unamteua mtu kumjaribisha hapa kama atafiti, asipofiti, unamuondoa, kitu cha ajabu ni kama hata best performers kama Jerry Ardhi, nae anaondolewa I seriously doubt, kama anajua anataka nini.
Mwanzo nisema tusimlaumu kwa makosa ya kukoseshwa na wasaidizi wake, nikashauri tumpe muda,
Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda but as times goes by, nimeanza kujiridhisha kuwa ..
P