Ndio maana kuna wakati nafikiria hivi ikitokea tukapata katiba mpya je nidhamu kama hizi za uoga zitaisha kweli?Fikiria OCD mzima naye hajui kuwa waziri hana mamlaka ya kumuamrisha lakini anakubali. Polisi anatakiwa kufahamu sheria na kuwa na uwezo wa kukataa maagizo yanayokinzana na sheria za nchi.
Atakuwa alimwachia.Hata OCD amekosea kupokea Amri kwa mtu ambaye hana Mamlaka ya kufanya hivyo! Kwa busara OCD angemkamata (ili kulinda heshima ya Waziri) lakini baadaye angemwachia huru!
Katiba mpya itapatikana kama ccm itatolewa madarakani. Walikataa rasimu ya jaji Warioba hivyo hawawezi kukubali katiba mpya kwa sababu ndio utakuwa mwisho wao maana hawataweza kuiba kura.Ndio maana kuna wakati nafikiria hivi ikitokea tukapata katiba mpya je nidhamu kama hizi za uoga zitaisha kweli?
CCM ina watu wajinga haswaNa huyo policcm pia naye ashtakiwe akaeleze mahakamani alitumia uhalali upi kumkamata mwananchi na kwa kosa lipi.
Nitajie hivyo vifungu vya kusoma.Kijana, soma.
Utakumbuka takataka mwenyeweMtanikumbuka 😂🔥
Hiyo unayoilalamikia wewe ndiyo common senseHapo kwenye hilo tukio common sense iko wapi??
Nchi inahusikaje na upumbavu wake?Nchi za kipumbavu kama hii hayo ni mambo ya kawaida
Waziri wako hana lolote kamfikishie tarifaKama mkuu wa wilaya anaweza amrisha ocd aondoke na wewe, unashangaa waziri?
Ni kweli aisee hapo kamdhalilisha mzee wa watu bila sababu yoyote ya msingiIla haya mambo bna, mwisho tutaanza kusikia viongozi wanachapwa shaba kama ilivyokua kibiti vituo vya polisi kuvamiwa.
Wanatumia madaraka vibaya mno, hawana heshima hata kwa waliowazidi umri, vijana hovyo kabisa hawa.
Hii kitu ilimpunguzia maksi Jerry Silaa. Mwambieni huko alikohamishiwa asije kuirudia tenaVifungu vya 7 na 15 vya Sheria ya Tawala za Mikoa ya mwaka 1997 imempa mamlaka Mkuu wa mkoa kuweka Mtu mahabusu Kwa masaa 48 (kif.7). Mkuu wa wilaya sheria imemruhusu kumweka Mtu ndani Kwa masaa 24 (kif.15) pale inapothibitika Mtu Huyo anàhatarisha Amani ya mbele yake.
Nimejaribu kuisoma sheria hiyo yote lakini sijaona kifungu kinachompa Waziri yeyote mamlaka ya kumweka Mtu mahabusu. Lakini ni kawaida nchini na jana tu Waziri wa Ardhi Jerry Slaa akiwa Kihonda Morogoro aliamuru mwananchi akamatwe na OCD na kuwekwa ndani Kwa kutoa maelezo Kwa kirefu wakati Waziri alimtaka atoe Kwa kifupi.
Kabla ya kutoa amri hiyo alimkatisha Msemaji na kumwambia hataki hotuba anataka majibu kitu ambacho mzungumzaji alishindwa na kuendelea kutoa maelezo na hivyo kumuudhi MHESHIMIWA WAZIRI na kuamuru akamatwe na OCD mara moja.
Swali langu Nataka kujua kama kuna sheria nyingine tofauti na nikiyoitaja inayompa Waziri mamlaka ya kuweka watu mahabusu kadri wanavyojisikia.
Tapeli la viwanja, Jerry kakunyoosha umebaki na hasira,angalia sana dhuluma zitakutia uchizi, shauri yako tunakukanya kungali bado mapema, Karma ikija hakuna wakuingilia kati hadi imalize kazi yake!!Waz
Waziri wako hana lolote kamfikishie tarifa
Maisha yangu mimi, nimejikadiria vyema staki kuwa na vitu vingi ambavyo vingine wangepewa wengine, ambavyo kwangu ni kama anasa tu chief, nakula jasho langu halali,Tapeli la viwanja, Jerry kakunyoosha umebaki na hasira,angalia sana dhuluma zitakutia uchizi, shauri yako tunakukanya kungali bado mapema, Karma ikija hakuna wakuingilia kati hadi imalize kazi yake!!
Tehetehe....ndugu na marafiki wa familia yake walikuwa wanajaa ofisini kwakeHapo Slaa katumwa na rafiki yake ili anyang'anye ardhi. Sasa kaona huyo mwananchi anaenda kusiko
Jerry hakua mtu wa kukaa kwa office achaa uwongo, Jerry alikua anaonekana full time yuko site kutatua migogoro ya Aridhi, ndiyo maana hadi Mama kapenda ubunifu wake wa zile clinics zake za Aridhi, na kweli matapeli wa Aridhi kila wakisikia Jerry leo ana clinic eneo lao,basi matumbo ya kuhara yanawashika ghafla, na mwamba akija kweli anapita nao matapeli wote! MUNGU amtangulie kwa kila jambo Muheshimiwa Jerry, kawasaidia wanyonge wengi sana waliodhulumiwa na matapeli wa Aridhi!!Tehetehe....ndugu na marafiki wa familia yake walikuwa wanajaa ofisini kwake
Huyu jamaa nae atakumbukwa.Mtanikumbuka 😂🔥