Mshughulishaji
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,351
- 1,875
Yaani wakatwe kwenye mishahara yao na posho zao itatosha ndani ya miezi miwili tuHiyo 100 iwekwe kwenye posho za wabunge.. akili matope sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wakatwe kwenye mishahara yao na posho zao itatosha ndani ya miezi miwili tuHiyo 100 iwekwe kwenye posho za wabunge.. akili matope sana
Punguza upumbavu,posho za wabunge zinaweza uzalishaji pesa ya kujenga Barabara?Hiyo 100 iwekwe kwenye posho za wabunge.. akili matope sana
Barabara alishajenga Shujaa sasa ni VishikwambiNi mawazo mazuri sana na hiyo itasaidia kua na jini lenye barabara bora
Kwa hiyo wawaache waendelee kuiba halafu kureplace pesa za wizi wawe wanaongeza tozo au sioHata wakifahamika hicho sio chanzo sustainable kwani ukimkamata Leo ndio utapata pesa? Keshazila
Ndio kwani wewe unadhani ubunifu ni nini? Tozo au Kodi au service levy ni nini kama sio vyanzo tuu vya pesa?Tozo ndio ubunifu 😄😄😄
ni kweli hujui kwanini Dar ni bei rahisi mikoani bei juu? kilo moja ya mchele Morogoro sawa na kilo moja ya Dar? ukijua hapo utajua na kule.Pesa zimeibiwa Sasa zichukuliwe kutoka wapi? Jerry ana hoja kumbuka hiyo ni specific Kwa Dar tuu.
Pia Vyanzo vingine sio sustainable,kama Sumbawanga wananunua bei kubwa kuliko Dar Kwa nini Dar msinunie bei sawa na wao tena Kwa faida yenu?
hapo ndipo penye shida. jerry silaa ana uono hafifu. Dar wanapata unafuu wa mafuta, lakini matumizi ya mafuta ni makubwa kuliko mikoa mingine na hivyo kwa pato linalotokana na mafuta, serikali inapata pesa nyingi zilizo katika tozo za mafuta hapa dar kuliko mikoa mingine. Lakini wakati huo huo kuna vitu watu wa dar wanaumia hasa vyakula vinavyosafirishwa kwenda darNdio Kwa sababu si unapunguza tozo za masoko Ili bei iwe nafuu?
Watashughulikiwa Kwa mujibu wa Sheria.Kwa hiyo wawaache waendelee kuiba halafu kureplace pesa za wizi wawe wanaongeza tozo au sio
300,000x395x160=?Punguza upumbavu,posho za wabunge zinaweza uzalishaji pesa ya kujenga Barabara?
Ni Kwa sababu gharama ya usafiri ambayo huchangiwa na bei kubwa ya mafuta Mkoani.ni kweli hujui kwanini Dar ni bei rahisi mikoani bei juu? kilo moja ya mchele Morogoro sawa na kilo moja ya Dar? ukijua hapo utajua na kule.
Punguza ujinga Mzee hakuna hela ya Barabara hapo,pesa inatakiwa walau bil.80 annually300,000x395x160=?
Wajinga wanaotaka kuongeza Tozo kabla ya kujadili ripoti ya CAGPunguza ujinga Mzee hakuna hela ya Barabara hapo,pesa inatakiwa walau bil.80 annually
Sh.100 inamuathiri vipi mtu wa Dar wakati Mikoani difference ya bei ya mafuta Dar na Mkoani ni Kati ya sh.300-700?Kwa mtiririko ninao uona itakuwa ngumu sana kuwashawish wananch kuwatoza kodi mpya.
Madam spika ni kama anakihujumu chama, kuacha kuzungumzia hili jambo sasa na kwenye budget ya 23/24 kutakuwa na kodi mpya sidhan kama serikal itaeleweka.
Kulizungumzia hili jambo bungeni kungeisafisha sana serikal na huu uozo..
Sasa una discuss hii report Nov alaf March 24 inatoka nyingine inaibua wizi mwingine.. mwaka huo huo ni uchaguz serikal za mitaa, 25 uchaguzi mkuu...
Nafikiri she is unknowingly subbotaging effort to make the party clean on public minds.
Kumbuka shutuma za wizi na ubadhirifu wa mali za umma ndio kibwagizo cha wapinzani wa CCM miaka yote.
Kuna mwaka ripoti ya CAG Haijawahi jadiliwa? Bunge Lina utaratibu na mda ukifika litajadili kwani shida Iko wapi?Wajinga wanaotaka kuongeza Tozo kabla ya kujadili ripoti ya CAG
Tarura hakuna upigaji,sio Halmashauri Wala TanRoads.100 ni ndogo sana ila hatuna imani kabisa