Jerry Silaa: Serikali iweke Tozo ya Tsh. 100 kwenye mafuta yanayonunuliwa Dar ili Kupata Pesa za Kujenga Barabara za Jiji

Milioni tatu Itakuwa ni kwa siku. Sio mwaka
 
Pesa zimeibiwa Sasa zichukuliwe kutoka wapi? Jerry ana hoja kumbuka hiyo ni specific Kwa Dar tuu.

Pia Vyanzo vingine sio sustainable,kama Sumbawanga wananunua bei kubwa kuliko Dar Kwa nini Dar msinunie bei sawa na wao tena Kwa faida yenu?
ni kweli hujui kwanini Dar ni bei rahisi mikoani bei juu? kilo moja ya mchele Morogoro sawa na kilo moja ya Dar? ukijua hapo utajua na kule.
 
Ndio Kwa sababu si unapunguza tozo za masoko Ili bei iwe nafuu?
hapo ndipo penye shida. jerry silaa ana uono hafifu. Dar wanapata unafuu wa mafuta, lakini matumizi ya mafuta ni makubwa kuliko mikoa mingine na hivyo kwa pato linalotokana na mafuta, serikali inapata pesa nyingi zilizo katika tozo za mafuta hapa dar kuliko mikoa mingine. Lakini wakati huo huo kuna vitu watu wa dar wanaumia hasa vyakula vinavyosafirishwa kwenda dar
 
ni kweli hujui kwanini Dar ni bei rahisi mikoani bei juu? kilo moja ya mchele Morogoro sawa na kilo moja ya Dar? ukijua hapo utajua na kule.
Ni Kwa sababu gharama ya usafiri ambayo huchangiwa na bei kubwa ya mafuta Mkoani.
 
Kwa mtiririko ninao uona itakuwa ngumu sana kuwashawish wananch kuwatoza kodi mpya.

Madam spika ni kama anakihujumu chama, kuacha kuzungumzia hili jambo sasa na kwenye budget ya 23/24 kutakuwa na kodi mpya sidhan kama serikal itaeleweka.

Kulizungumzia hili jambo bungeni kungeisafisha sana serikal na huu uozo..
Sasa una discuss hii report Nov alaf March 24 inatoka nyingine inaibua wizi mwingine.. mwaka huo huo ni uchaguz serikal za mitaa, 25 uchaguzi mkuu...
Nafikiri she is unknowingly subbotaging effort to make the party clean on public minds.

Kumbuka shutuma za wizi na ubadhirifu wa mali za umma ndio kibwagizo cha wapinzani wa CCM miaka yote.
 
Sh.100 inamuathiri vipi mtu wa Dar wakati Mikoani difference ya bei ya mafuta Dar na Mkoani ni Kati ya sh.300-700?
 
Back
Top Bottom