johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata Tozo Hazina haraka Dunia haiishi kesho!Kuna mwaka ripoti ya CAG Haijawahi jadiliwa? Bunge Lina utaratibu na mda ukifika litajadili kwani shida Iko wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Tozo Hazina haraka Dunia haiishi kesho!Kuna mwaka ripoti ya CAG Haijawahi jadiliwa? Bunge Lina utaratibu na mda ukifika litajadili kwani shida Iko wapi?
Kwa nn hawa wabunge asitoe hoja ya hela zilizopo China, na kwenye account ya plea bargain itumike kwa kazi hiyo, maana makosa yalifanyikia Dar, basi wanufaika wawe wa DarSawa yawezekana ana hoja ya msingi but chanzo chake cha pesa kwaajil ya hizo barabara noooo!! Nadhan zichukuliwe kwanza pesa zote zilizoibiwa toka report ya CAG iliyopita mpaka hii ya sasa, litolewe fungu kwaajil hiyo!!!
Yes, yaan wanatoa hoja za kuzid kuwaumiza wananchi wakat kuna pesa nying san wangezichukua na kufanyia maendeleo!!Kwa nn hawa wabunge asitoe hoja ya hela zilizopo China, na kwenye account ya plea bargain itumike kwa kazi hiyo, maana makosa yalifanyikia Dar, basi wanufaika wawe wa Dar
Labda uniambie kwanza watafute muarobaini wa wizi ili zikikatwa zitumike kweli..! Gharama unayotumia kwa foleni na kununua vipuri na kuchelewa kazini ni zaidi ya mara 500 ya hiyo sh.100Sawa yawezekana ana hoja ya msingi but chanzo chake cha pesa kwaajil ya hizo barabara noooo!! Nadhan zichukuliwe kwanza pesa zote zilizoibiwa toka report ya CAG iliyopita mpaka hii ya sasa, litolewe fungu kwaajil hiyo!
Unaweza nikumbusha kwa budget ya 22/23 CAG kasema zimetumika vibaya shilingi ngapi?Sh.100 inamuathiri vipi mtu wa Dar wakati Mikoani difference ya bei ya mafuta Dar na Mkoani ni Kati ya sh.300-700?
Kwani wahusika wa ufisadi si wapo? Au ni mabeberu toka nje wameiba na kukimbia? Wabinywe kwanza warudishe hela, zielekezwe kweny maendeleo!!Labda uniambie kwanza watafute muarobaini wa wizi ili zikikatwa zitumike kweli..! Gharama unayotumia kwa foleni na kununua vipuri na kuchelewa kazini ni zaidi ya mara 500 ya hiyo sh.100
Trioni mbili unusu zimepigwa Tanroads huu mpago tozo ndio utasababisha tuingie Mabarabarani Nchi nzima.Sawa yawezekana ana hoja ya msingi but chanzo chake cha pesa kwaajil ya hizo barabara noooo!! Nadhan zichukuliwe kwanza pesa zote zilizoibiwa toka report ya CAG iliyopita mpaka hii ya sasa, litolewe fungu kwaajil hiyo!
Jerry Silaa hana hoja bali ni mvivu wa kufikiri. Hatuwezi kuendelea kujaza tozo kwenye petroli kila leo. Hii imekuwa too much.Akichangia mjadala wa Bajeti ya Tamisemi,mbunge wa Ukonga Jerry Silaa Kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza Kwa Serikali Iweke Tozo ya Shilingi 100 Kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo Ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam.
Jerry Silaa amesema amesema Jiji la Dar es Salaam linatumia zaidi ya Lita milioni 3 Kwa mwaka ambazo zinaweza kuwezesha Jiji la Dar kupata Bil.130 Kwa mwaka ambazo zitatumika kujenga Miundombinu ya Barabara ndani ya Jiji Hilo.
Aidha Silaa amesema Shilingi 100 itakayoongezwa italeta msawazo wa bei na maeneo mengine ya Nchi ambayo yananunua mafuta Kwa bei kubwa sana,akisema formula yake ataiwasilisha Kwa Waziri wa Tamisemi na Wizara ya Fedha.
My Take: Jerry Silaa ana Hoja ya msingi na asikilizwe, nimeipenda ubunifu wake sio Kila kitu kusubiria mikopo.
Kbs mkuuTrioni mbili unusu zimepigwa Tanroads huu mpago tozo ndio utasababisha tuingie Mabarabarani Nchi nzima.
Duuh hadi wewe mlamba asali??Hizo walizokwiba hazitoshi
Jibu lako ni la msingi. Isitoshe Awamu iliyoko madarakani imegubikwa na masuala ya kisiasa zaidi kuliko maendeleo.Yaani wapige maela zaidi ya hizo kila mwaka halafu eti waseme tozo iwekwe kwenye mafuta kupata hela ya kujenga miundombinu, hivi hawa wabunge wamelaaniwa au...
Sh.100 inamuathiri vipi mtu wa Dar wakati Mikoani difference ya bei ya mafuta Dar na Mkoani ni Kati ya sh.300-700?
Azungumzie kushusha posho za wabunge wote ili fedha itakayookolewa huko ndiyo ipelekwe kwenye hayo matumiziAkichangia mjadala wa Bajeti ya Tamisemi,mbunge wa Ukonga Jerry Silaa Kwa niaba ya Wabunge wa Dar es Salaam amependekeza Kwa Serikali Iweke Tozo ya Shilingi 100 Kwa mafuta yanayonunuliwa Jijini humo Ili kupata Fedha za kujenga Barabara za Jiji la Dar es Salaam.
Jerry Silaa amesema amesema Jiji la Dar es Salaam linatumia zaidi ya Lita milioni 3 Kwa mwaka ambazo zinaweza kuwezesha Jiji la Dar kupata Bil.130 Kwa mwaka ambazo zitatumika kujenga Miundombinu ya Barabara ndani ya Jiji Hilo.
Aidha Silaa amesema Shilingi 100 itakayoongezwa italeta msawazo wa bei na maeneo mengine ya Nchi ambayo yananunua mafuta Kwa bei kubwa sana,akisema formula yake ataiwasilisha Kwa Waziri wa Tamisemi na Wizara ya Fedha.
My Take: Jerry Silaa ana Hoja ya msingi na asikilizwe, nimeipenda ubunifu wake sio Kila kitu kusubiria mikopo.