Jerry Slaa akagua daraja la Bilioni 17 jimboni kwake

Asante
 
Duh! 17B?
 
Material ya ujenzi yamepanda sana kutokana na kupaa kwa dola! Wwe fikiria ukiwa na ka dola mia tu unapewa karibu laki tatu za kitanzania!!

Material ya ujenzi yamepanda sana kutokana na kupaa kwa dola! Wwe fikiria ukiwa na ka dola mia tu unapewa karibu laki tatu za kitanzania!!
Mkuu pamoja na maelezo yako mazuri ila bado! Tutafari pamoja ukubwa wa B17 na ukubwa wa daraja linaloonekana!
 
Kwa mtindo huu wacha wasomi wapigane vikumbo kugombania kazi serikalini...
 
Hili ndio daraja la 17bn?kweli ccm majambazi ya mchana kweupe
 
Watu jamani! Yaani kweli B17?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…