Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Hizo ni concept kits sio kits halisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kila mtu hasa maisha yetu ya kibongo anaeweza ku afford hizo kits halisi.. Mfano jersey OG ya Man u home ya msimu huu ni £59 kama 138,465.30 pesa ya madafu ya hapa.. unapata picha ganiHizo ni concept kits sio kits halisi
Hujaelewa nilichoandika. Concept kits ni jezi ambazo sio rasmi, huwa zinabuniwa na mashabikiSi kila mtu hasa maisha yetu ya kibongo anaeweza ku afford hizo kits halisi.. Mfano jersey OG ya Man u home ya msimu huu ni £59 kama 138,465.30 pesa ya madafu ya hapa.. unapata picha gani
Sawa mkuuHujaelewa nilichoandika. Concept kits ni jezi ambazo sio rasmi, huwa zinabuniwa na mashabiki
Shukrani mkuu nimekuelewaHizo ni concept kits sio kits halisi
hata sisi simba jezi zetu uta dhani ni mapazia ya indiaYanga tunafeli wapi kutengeneza jezi kali
Makolo mnafeli sanaYanga tunafeli wapi kutengeneza jezi kali