Ilu
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 1,198
- 1,648
Anaitwa MwanabureYule wa mwanza kanunua jina tu,alikua anafanya voda hapo mwz miaka ya 2010 anaitwa mwanahela kma sikosei...alianza na uagent wa mpesa kwanza bdae ndio akafungua royol oven
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa MwanabureYule wa mwanza kanunua jina tu,alikua anafanya voda hapo mwz miaka ya 2010 anaitwa mwanahela kma sikosei...alianza na uagent wa mpesa kwanza bdae ndio akafungua royol oven
Chakula kitamu maudambwi dambwi je??Mi natamani nifungue migahawa kama shishi vile, coz napenda kupika
Aiseeeee....Chakula kitamu maudambwi dambwi je??
Maan kuna kupenda kupika na kupika chakula kitamu ni jambo lingine.
Kuna Careen wa Team MoneyHabari wadau.
Wadada wameamua kuleta ubishi kwenye biashara za Bar na wanakimbiza kweli kweli mifano hai ni jesca kikumbi mmiliki wa kitambaa cheupe former cabin crew wa fast jet na mwenzie Lilian Gumbo mmiliki wa Liquid Bar former police officer.
Hawa wadada waliamua kujiajiri kwenye biashara za bar na wamezimudu kweli kweli
Hongera kwao na ni vizuri watoe darasa kwa wadada wenzao wanaopenda biashara za vinywaji lakini hawazimudu. Vi glocery mitaani vya wadada vinafilisika daily.
Wadada wa kitambaa cheupe na liquid wanatumia mbinu gani kutoboa?
Wote ni wadogo kiumri ila balaa za bar zao ni kubwa sana kwenye miji tofauti.
🤣🤣🤣🤣🤣Wadada wa vigrocery hawafiki mbali sabb wanakuwa kama wamejiegesha tu
Kigrocery kina bia 5 kuna kitu hapo
Kwanini ?Washirikina