Jesca Kishoa: Mwigulu Nchemba ametuaibisha wanyiramba na wana Singida wote

Jesca Kishoa: Mwigulu Nchemba ametuaibisha wanyiramba na wana Singida wote

Kiimla huyo ndio mwanachama wa Bunge la JMT 2020, aisee mda mwingine ni aibu. Inabidi tuhoji elimu yake hadharani ili mda mwingine tusimlaumu sana.

Napata aibu sana nchi yangu anapojitokeza mtu mmoja ambaye ni kiongozi kuzungumza mambo ambayo yanamfanya aonekane yeye MBU MBU MBU, najiuliza inamaana wananchi huko atokako hawana muwakilishi ambaye ana afadhali ama ni ule msemo wa vilaza kwamba HAKUNA MKAMILIFU😛
 
Mtamuona mjinga lakini hapo anachokifanya ni ku align mawazo yake na ya JIWE ili arudi kwenye good books zake.
 
Ccm ilishakosa maarifa zamani sn sasa mbwa km mwigulu ndo utegemee aisimamie serikali na hii ndo type ya viongozi karibia wote wa ccm wamejaa maujinga sn
 
PhD yake alipewa na chuo kikuu Cha wapi? Na ubunge hapa singida anataka kugombea Tena,?mwambie Prof kitilia ajiandae kuchukua Jimbo,Jimbo liko wazi
Samahani, usiulize Mwigulu alipata wapi PhD, utapotezwa na wasiojulikana; umesahau Ben aliuliza swali hilo hilo, akapotea hadi kesho!!!?
Pia usisahau kuwa mtetezi wa hizo PhD ni Dr. Kitila Mkumbo!!!!
 
PhD yake alipewa na chuo kikuu Cha wapi? Na ubunge hapa singida anataka kugombea Tena,?mwambie Prof kitilia ajiandae kuchukua Jimbo,Jimbo liko wazi
Umekariri Jimbo ni kwa Mwanamke safari hii ni Jescka Safari hii kuna mageuzi makubwa yanakuja Tanzania
 
Ningekuwa Mwigulu ningeitisha Mkutano na wanahabari halafu nikanushe habari ile kwa kusema nilinukuliwa vibaya .

Ile ni aibu ya kujitakia
Lakini kama alikuwa ana funga watu kwenye viroba na kuwa tupa bharini na mtoni, una dhani anaona kama ni uchungu watu kufa kwa corona?
Kuuwa watu kwa mabomu unadhani ni kazi ndogo? Damu bado ina mnukia mikononi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elimu imewafanya watu wengi kuwa wajinga,mtu mwenye Phd akizungumza hana tofauti na mtoto wa darasa la kwanza.
 
Back
Top Bottom