Msingida
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 10,239
- 11,731
Jina la kisukuma hilo,alitumia kufoji arudie darasa.Jina lake Lameck Mdelu.Kwani Mwigulu siyo msukuma?!
Ph D hana hoja kabisa,anawaangusha wasomi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina la kisukuma hilo,alitumia kufoji arudie darasa.Jina lake Lameck Mdelu.Kwani Mwigulu siyo msukuma?!
Wana Iramba wasifanye makosa tena.Ni hasara kubwa sana kwa nchi
Samahani, usiulize Mwigulu alipata wapi PhD, utapotezwa na wasiojulikana; umesahau Ben aliuliza swali hilo hilo, akapotea hadi kesho!!!?PhD yake alipewa na chuo kikuu Cha wapi? Na ubunge hapa singida anataka kugombea Tena,?mwambie Prof kitilia ajiandae kuchukua Jimbo,Jimbo liko wazi
Umekariri Jimbo ni kwa Mwanamke safari hii ni Jescka Safari hii kuna mageuzi makubwa yanakuja TanzaniaPhD yake alipewa na chuo kikuu Cha wapi? Na ubunge hapa singida anataka kugombea Tena,?mwambie Prof kitilia ajiandae kuchukua Jimbo,Jimbo liko wazi
Lakini kama alikuwa ana funga watu kwenye viroba na kuwa tupa bharini na mtoni, una dhani anaona kama ni uchungu watu kufa kwa corona?Ningekuwa Mwigulu ningeitisha Mkutano na wanahabari halafu nikanushe habari ile kwa kusema nilinukuliwa vibaya .
Ile ni aibu ya kujitakia
Acha niendelee kuamini akaunti yake imekuwa Hicked.
Madelu hawezi kuongea hivyo hata kana ni njaa ya kisiasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha niendelee kuamini akaunti yake imekuwa Hicked.
Madelu hawezi kuongea hivyo hata kana ni njaa ya kisiasa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamsaidia mkewe kuandika 😳Huu ni mwandiko wa Kafulila
it's a shame to hear a Ph.D holder like mwigulu speaking shits like that . . . Ningekuwa na uwezo ningemfutia Ph.D yake maana kwa maoni aliyoyatoa wakati wa mapambano ya COVID-19 hafananii kabisa na mtu mwenye Ph.D ya Economics