Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Umemaliza kila kitu wasipokuelewa hawataelewa chochote maishani
 
Waache wapoteane. Hamna demu anaacha kazi bila kuwa na uhakika wa sponsorship ya kibabe. Na hapo lazma awe kajihakikishia kachuma vya kutosha.
 
Kama wewe ni mwanaume acha kabisa kutamani mafanikio ya wanawake, wameumbwa kupokea!
Usimshangae. Maana hata huko nyuma alishawahi kutamani kuwa mwanamke/kuzaliwa mwanamke

By the way, kila mtu ana mtazamo wake wa kimaisha. Sidhani kama ni sahihi sana kwake kuwapangia watu maisha yao. Akiacha yeye inatosha. Na siyo kumlazimisha mtu kufanya vile apendavyo yeye.
 
Walimu ndiyo kada pekee hapa Tanzania inayo tukanwa, kudharauriwa, kutwezwa na kukalipiwa hata na mlevi.

Ukizingatia mshahara mdogo na hakuna allowance wanaonekana hopeless. Ualimu tz ni laana.
Laana lakini wanakula hadi milioni 2 kwa mwezi wakati wewe uko huko mwaka wa 3 huu very jobless.
 
Walimu ndiyo kada pekee hapa Tanzania inayo tukanwa, kudharauriwa, kutwezwa na kukalipiwa hata na mlevi.

Ukizingatia mshahara mdogo na hakuna allowance wanaonekana hopeless. Ualimu tz ni laana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu ualimu ni laana bora ubake baba mzazi ila sio kuwa mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…