Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

Mkuu why unadhani Mpwayungu ni weak hivyo kwa wanawake hasa wa kichagga?

Hayo yanaweza kuwakuta wanaume wengi washamba, aidha wa mapenzi au pesa.

Kuwafananisha Wakikuyu na Wachagga kama Wayahudi wa Tanzania na wa Kenya umetumia vigezo vipi Mr. Glenn?
 
Unazingua, una pesa unatamka kodi...eti hata kodi ya laki moja?

Sasa nyumba ya laki moja utaenda kupaki gari uingie kumtafuna?

Hii ni level ya kijana ambaye bado anajitafuta sio level ya kuhonga gari
 
Wewe ni mzoefu mno aisee! Dah[emoji23]
 
Anafikili mm boya hajui mm ni mtoto WA town nimezaliwa dodoma mjini nikakulia mjini nikasoma mjini na saizi nipo dar kupiga pesa na kula bata kila jumapili nipo kidimbwi sehemu ambayo hukuti uchafu wowote wa washika vumbi la chaki.
 
kwamba ana ugomvi na walimu sio! [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu alikuwa kilaza sana shuleni, matokeo yake akaamua kuwachukia walimu!! Sijui watoto wake kama anao wanafundishwa na nani!! Mwalimu ni baba wa elimu, ukidharau mwalimu ni sdawa na kudharau baba yako, matokeo yake ni laana tu!!
 
Huyu ni mwalimu,bifu lake na siye tuliyo kazini ni yeye kukosa ajira
 
Well said
 
Huyu jamaa na walimu wakae chini wazungumze
Mpwayungu vilage ana maisha magumu!! Anaamini maisha yake magumu yametokana na kufeli shule maana bila shaka alikuwa ni kilaza!! Anaona walimu ndo wanahusika na kufeli kwake kwa hiyo ameamua kuwa adui wa walimu maisha yake yote!! Anajifariji kuwa walimu wana maisha magumu kama yeye alivyo na maisha magumu!!
 
Unazingua, una pesa unatamka kodi...eti hata kodi ya laki moja?

Sasa nyumba ya laki moja utaenda kupaki gari uingie kumtafuna?

Hii ni level ya kijana ambaye bado anajitafuta sio level ya kuhonga gari
Law number 3.
Usije ukamtafunia mchepuko nyumbani kwake. Kama huna hela ya lodge, Mbagala Kuna gesti za elfu tano (self).
Kifupi usije kulala nyumba ya mchepuko, wanawake sio watu wema.
 
Kuhusu Mpwayungu Village nimeandika kwenye mabano kuwa nimemtania.

Kuhusu Kikuyu na Mchaga...kuwafananisha na Waisrael.

Israel ni watafutaji sana wa pesa, wanatumia mbinu nyingi.

Ukimleta Mwisrael hapa Tanzania aje tu na bag lake bila mtaji, atakushangaza baada ya miaka mitano, atakuuzia akili, maarifa namna ya kulima kisasa au kubuni chochote.

Mchaga kwenye pesa sio mtaji pekee.

Kinywa/mdomo wa mchaga unaweza kugeuka mtaji
Wewe mwajiri kufanya lolote yaani mbele ya pesa ni mnyenyekevu sana yuko tayari kumuosha boss miguu tena kiroho safi maadamu tu pesa ni uhakika.
Ndio maana anafanikiwa.

Je..kijana wa KINYAKYUSA anaweza kujishuklsha kiasi hicho?
 
Huyu alikuwa kilaza sana shuleni, matokeo yake akaamua kuwachukia walimu!! Sijui watoto wake kama anao wanafundishwa na nani!! Mwalimu ni baba wa elimu, ukidharau mwalimu ni sdawa na kudharau baba yako, matokeo yake ni laana tu!!
Sio kweli yani Hawa maticha wanaolewa mpaka wanajikojolea ufananishe na baba angu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]usifananishe faza na walimu wajaa laana makapuku wananuka njaa
 
Sahihi kabisa
 
Anafikili mm boya hajui mm ni mtoto WA town nimezaliwa dodoma mjini nikakulia mjini nikasoma mjini na saizi nipo dar kupiga pesa na kula bata kila jumapili nipo kidimbwi sehemu ambayo hukuti uchafu wowote wa washika vumbi la chaki.
Unamdanganya nani, wewe ni mlala hoi tu uliyeamua kuishi maisha ya kujitekenya na kucheka mwenyewe!! Kuchukia walimu kwa kuwa ulifeli shule hakutakusaidia kukupunguzia ugumu wa maisha uliyonayo!
 
Sio kweli yani Hawa maticha wanaolewa mpaka wanajikojolea ufananishe na baba angu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]usifananishe faza na walimu wajaa laana makapuku wananuka njaa
Una hoja lakini uwasilishaji wako juu ya walimu ni mbovu kuliko ubovu wenyewe.

Unageuka kuwa unachuki binafsi na walimu.

Ungekuwa na uwasilishaji mzuri ungegeuka kuwa mkombozi wa walimu kifikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…