Jesca Magufuli amemtembelea Odinga ili kumtakia heri katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC)

Jesca Magufuli amemtembelea Odinga ili kumtakia heri katika uchaguzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC)

Huyu Jesca ndio yule alipwta F zote Form 4 au n mwingine
Division one mtoto wa kike ya kazi gani, mbona mnataka kuwabebesha mizigo isiyowahusu?.....mwanamke hawajaumbwa kuhangaikia ugali asome hadi achanganyikiwe, pambana na hali yako mzee.
 
Watu bhana .... Eeeeeeeh alifeli form four ndo Nini sasa? So what

Sisi tunampenda ivo ivooooo

Mtoto wa kiume ana wivu na janeti wetuuuuu 😂
niliona kuna umuhimu wa kukutaarifu umuonye asijemwaribia Janetiiii.🏌‍♂️🎤
 
Huyu Jesca ndio yule alipwta F zote Form 4 au n mwingine
Kupata F siyo kukosa la kufanya maishani, wapo waliopata A zote ila hawajui wafanye nini kukabiliana na changamoto za maisha, Mungu huwainua wanyonge kwa namna zake
 
Chadema! Kuna fursa hapa!
Msicheze mbali na Jessica kugombea Urais 2025🙏
 
Jesca uwezo wake wa kielimu uko chini sana, jamani ubunge sio nafasi ya kusomba watu tu sbb ya jina la mzazi wako, lazima uwe na uwezo, ni nafasi nyeti sana kuwakilisha wananchi bungeni.
Musukuma
Babutale
Shigongo
Kishimba
Hao wana elimu gani?
 
Sasa rasmi familia ya JPM itadhibiti siasa za Geita na Chato kwa miaka kadhaa ijayo. Nguli wa siasa za Afrika Mashariki kaweka mkono wake.

Rafiki wa kweli hata mzee huko ahera city roho yake imefurahi anajua alimuacha mchizi wake kichizi nakuunga mkono odinga chukua form 2027 one day uwe raisi wa kenya hata ukiwa na miaka 100!
 
Kupata F siyo kukosa la kufanya maishani, wapo waliopata A zote ila hawajui wafanye nini kukabiliana na changamoto za maisha, Mungu huwainua wanyonge kwa namna zake
Naamini unajua kusoma...Wapi pamesemwa hawezi kufanya jambo maishani? Nilikuwa nauliza tu.
Mbona najua Mawaziri kibao na Failures na ndio wanatuongoza.
 
Musukuma
Babutale
Shigongo
Kishimba
Hao wana elimu gani?


Hawa wote ulio wataja, umeona input yoyote kwenye bunge toka kwao? Kazi kujaza bunge with lowest IQ individuals, ndio maana matatizo ya wananchi hayapungui kila siku, sbb representatives wa aina hiyo, so hatutaki watu type hiyo umewataja hapo..!! Kazi yao bungeni ni kupinga Elimu kuwa haina maana, sasa nikwambie na wewe unaye wasupport, There is no alternative to Education yaani Elimu haina mbadala wake hadi sasa, so tunataka individuals ambao wana uwezo, sio hao wako kujaza idadi tu na kupiga makofi.
 
Back
Top Bottom