Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Huyu gaidi mjanja, maisha ni hapa hapa anajua habari ya mabikra 72 ni usanii tu ๐คฃ๐๐๐๐ hataki mabikira 72!
GOD BLESS ISRAEL
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu gaidi mjanja, maisha ni hapa hapa anajua habari ya mabikra 72 ni usanii tu ๐คฃ๐๐๐๐ hataki mabikira 72!
GOD BLESS ISRAEL
Mmmeumbiwa ujinga mwingi, mnakufa huku mkitiwa moyo msiogope eti hata mkifa kuna mito ya pombe na mabikra 72๐๐๐Israel hakuna pahala kaingia lebanon,hizo propaganda tu
Imagine CCM inavowakomalia wa Tanzania, inavowakataza wasiandamane, Inavouza Bandari zao kwa Waarabu.Bora Hamas walikaza msuli kabla pumzi hazijakata....Hezbollah wepesi kuliko mgambo wa manispaa....
Nimeona kwenye habari waandishi WA vyombo vya habari vya "Nje" wamepelekwa kwa magari ya kivita ya mayahudi kwenda kuangalia mzigo WA silaha zikiwemo anti-tank Kali zana zilizokamatwa na mayahudi mpya kabisa kwenye mabox yake!
Umoja wa mataifa wapo mpaka wa lebanon na israel,wanatengeza buffer zone muda tu,miaka, netanyahu kamwambia guttierez muda mfupi uliopita un waondoke hapo.....Hakuna mahala alipoingia wakati umoja wa mataifa wameshalalamika kwa ofisi yao kushambuliwa na askari wawili wamejeruhi na vifaru vya Israel Beirut kusini au huko siyo Lebanon?.
Wamedhurumiwa na nani mkuu na kivipikwa taarifa yako guyo sio gaidi,ni mpigania uhuru wa kudhulumiwa nchi yao,ipo siku,uhuru wao wataupata
Viva hizbollah,viva hamas
Inahusiana nini na mada?Mmmeumbiwa ujinga mwingi, mnakufa huku mkitiwa moyo msiogope eti hata mkifa kuna mito ya pombe na mabikra 72๐๐๐
Huo ni uwongoo pendeni maisha wakuu
Iran alimjaza upepo kuwa watapigana kwa pamoja ikiwa Israel ataingia Lebanon. Kwa sasa Ayatollah simu zake haziiti na meseji hajibu, kwa sasa kazi aliyonayo ni kuhama handaki moja kwenda jingine.Tulianzishiwa thread humu IDF wakiingia lebanon vikundi vyote vya kislam vitaenda kuwasaidia hesbullah mpaka sasa mambo magumu kwao sijaona kikundi chochote cha kislam kwenda lebanon zaidi ya mbwa iran kubweka tu ๐คฃ
Lebanon nao wanapigania Uhuru wa nchi yao tenaa wakat wao ndowalileta ugomvikwa taarifa yako guyo sio gaidi,ni mpigania uhuru wa kudhulumiwa nchi yao,ipo siku,uhuru wao wataupata
Viva hizbollah,viva hamas
Mwanzo wafia dini walipaza sauti hezbollah ni watu hatari sana sio hamas ni kikundi kikubwa kina misile laki na nusu israel itachapika sana sasa najiuliza hii ndio ile hezbollah ilikuwa inasifiwa au nyingine maana myahudi anavyojipigia mpaka huruma wanamgambo wote wa allah amejifichia mapangoni kama panyaWadau hamjamboni nyote?
Shughuli inaendelea huko Lebanon
Gaidi anaswa live chini ya ardhi huko Lebanon, apelekwa sehemu maalumu kwa ajili ya mahojiano
Mungu ibariki Israel
Taarifa zaidi kwa kimombo hapo chini:
October 13, 2024
IDF troops capture Hezbollah fighter in underground bunker, take him to Israel for interrogation
By Lazar Berman Follow
Today, 12:05 pm
10
IDF forces in southern Lebanon capture a Hezbollah fighter in an underground bunker.
According to the IDF, troops identified a tunnel shaft inside a building leading to a 50-square-meter room some seven meters underground. The terror operative was hunkered down in the bunker, which also held weapons and supplies for an extended stay underground.
Video shows IDF troops instructing the Hezbollah fighter in Arabic to climb slowly out of the bunker, wearing only his underwear and shoes.
According to the IDF, the operative was taken to a detention facility inside of Israel for interrogation.
IDF troops in southern Lebanon uncover a Hezbollah bunker 7 meters underground, with a Hezb fighter hiding inside. He surrenders, and according to the IDF, is taken to a detention facility inside of Israel. pic.twitter.com/2A6IkBXQEx
โ Lazar Berman (@Lazar_Berman) October 13, 2024
Wakati sisi tukishangaashangaa hii habari, wao watakuwa wameshapata habari za mtandao mzimaWadau hamjamboni nyote?

Kumbe Beirut kusini iko mpakani?.Umoja wa mataifa wapo mpaka wa lebanon na israel,wanatengeza buffer zone muda tu,miaka, netanyahu kamwambia guttierez muda mfupi uliopita un waondoke hapo.....
Uhuru wa nchi gani?!kwa taarifa yako guyo sio gaidi,ni mpigania uhuru wa kudhulumiwa nchi yao,ipo siku,uhuru wao wataupata
Viva hizbollah,viva hamas
SawaIsrael hakuna pahala kaingia lebanon,hizo propaganda tu