Jeshi Israel lamnasa kamanda Hezbollah alijificha handakini chini ardhini lenye silaha na mahitaji muhimu, apelekwa Israel kuhojiwa

Israel hakuna pahala kaingia lebanon,hizo propaganda tu
Mmmeumbiwa ujinga mwingi, mnakufa huku mkitiwa moyo msiogope eti hata mkifa kuna mito ya pombe na mabikra 72πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huo ni uwongoo pendeni maisha wakuu
 
Imagine CCM inavowakomalia wa Tanzania, inavowakataza wasiandamane, Inavouza Bandari zao kwa Waarabu.

Ndio situation waliopo Lebanon, Hezbollah imeiweka mateka Serikali na watu wa Lebanon, na wameuza nchi yao Kwa Iran.

Ndio maana usishangae Israel kuwa Taarifa za kiintelenjinsia sahihihi sana
 
Hakuna mahala alipoingia wakati umoja wa mataifa wameshalalamika kwa ofisi yao kushambuliwa na askari wawili wamejeruhi na vifaru vya Israel Beirut kusini au huko siyo Lebanon?.
Umoja wa mataifa wapo mpaka wa lebanon na israel,wanatengeza buffer zone muda tu,miaka, netanyahu kamwambia guttierez muda mfupi uliopita un waondoke hapo.....
 
Mmmeumbiwa ujinga mwingi, mnakufa huku mkitiwa moyo msiogope eti hata mkifa kuna mito ya pombe na mabikra 72πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huo ni uwongoo pendeni maisha wakuu
Inahusiana nini na mada?
 
Tulianzishiwa thread humu IDF wakiingia lebanon vikundi vyote vya kislam vitaenda kuwasaidia hesbullah mpaka sasa mambo magumu kwao sijaona kikundi chochote cha kislam kwenda lebanon zaidi ya mbwa iran kubweka tu 🀣
Iran alimjaza upepo kuwa watapigana kwa pamoja ikiwa Israel ataingia Lebanon. Kwa sasa Ayatollah simu zake haziiti na meseji hajibu, kwa sasa kazi aliyonayo ni kuhama handaki moja kwenda jingine.
 
Hata maisha yao sasa yameshakuwa ya mateso...
 
Mwanzo wafia dini walipaza sauti hezbollah ni watu hatari sana sio hamas ni kikundi kikubwa kina misile laki na nusu israel itachapika sana sasa najiuliza hii ndio ile hezbollah ilikuwa inasifiwa au nyingine maana myahudi anavyojipigia mpaka huruma wanamgambo wote wa allah amejifichia mapangoni kama panya
 
Wakati sisi tukishangaashangaa hii habari, wao watakuwa wameshapata habari za mtandao mzima
 
Umoja wa mataifa wapo mpaka wa lebanon na israel,wanatengeza buffer zone muda tu,miaka, netanyahu kamwambia guttierez muda mfupi uliopita un waondoke hapo.....
Kumbe Beirut kusini iko mpakani?.
 
Ukiwaona na zile uniforms utadhani kuna wapiganaji, baruti ikilia humo, wanavaa nguo za kile na kupaka wanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…