Hamna nchi iliyofanikiwa kumaliza ugaidi. Hata Marekani wameshindwa hivi sasa wameamua kufanya mazungumzo na Taliban. Nyie Ldc ndio mtawezana na magaidi na hata hamna uzoefu huo wa kupigana nao? Wakija Tanzania watalala na nyinyi na kuzaa na nyinyi.Unakumbuka m23 walichofanywa?
Ongea Vyovyote ila jeshi lenu ni dhaifu sana.
Chakula cha msaada ni hafifu zaidi..Ethiopia wanakula injera, chakula hafifu sana.
Kama wanavyolala na kuzaa na ninyi sasa....Hamna nchi iliyofanikiwa kumaliza ugaidi. Hata Marekani wameshindwa hivi sasa wameamua kufanya mazungumzo na Taliban. Nyie Ldc ndio mtawezana na magaidi na hata hamna uzoefu huo wa kupigana nao? Wakija Tanzania watalala na nyinyi na kuzaa na nyinyi.
Visingizio vya kijinga kama kawaida yenu,Hamna nchi iliyofanikiwa kumaliza ugaidi. Hata Marekani wameshindwa hivi sasa wameamua kufanya mazungumzo na Taliban. Nyie Ldc ndio mtawezana na magaidi na hata hamna uzoefu huo wa kupigana nao? Wakija Tanzania watalala na nyinyi na kuzaa na nyinyi.
Kama nyie mna bidii mbona nyie masikini wa kutupwa. Tukiita Waganda au Warwanda hapa na kuwauliza nani wazembe kati ya Wakenya na Watanzania basi wote watasema nyie ndio mnajulikana kwa uzembe uliokithiri.Watanzania hatuna ndugu Wajinga wajinga na Wazembe, hata kulima hawawezi ndo Wataweza kupigana.
Hatujafikia uzembe wenu wa kupewa misaada ya chakula karne hii.Kama nyie mna bidii mbona nyie masikini wa kutupwa. Tukiita Waganda au Warwanda hapa na kuwauliza nani wazembe kati ya Wakenya na Watanzania basi wote watasema nyie ndio mnajulikana kwa uzembe uliokithiri.
Kwani Somalia hatukuenda mission ya kudegrade capability ya Alshabab? Tulifanikiwa kwenye hio mission na sasa Shabab haina nguvu kama ilivyokuwa nayo hapo mbeleni. Wewe hujui maana ya mission. Wewe pengine unadhani tulienda Somalia kusalimia watu na kuwajulia hali.Hawa wajinga hawafahamu chochote kuhusu nchi yao πππ
Namuuliza mission ambazo jeshi lao dhaifu limewahi fanikiwa yeye analeta ujinga,
Yaaani wanachojua tu ni ushabiki maandazi.
Pathetic do u claim to be a sovereign nation yet a foreign country army wonders around freely n conducts operations?Nyinyi LDC tunawazaba makonde ndani ya wiki mbili mumekaa chini.
Unafahamu maana ya mission kufanikiwa?Kwani Somalia hatukuenda mission ya kudegrade capability ya Alshabab? Tulifanikiwa kwenye hio mission na sasa Shabab haina nguvu kama ilivyokuwa nayo hapo mbeleni. Wewe hujui maana ya mission. Wewe pengine unadhani tulienda Somalia kusalimia watu na kuwajulia hali.
Ninyi mlichofanya cha maana ni kuwapa hao rebels wa Mozambique makao ila hamkutuma jeshi lenu kupigana na Wareno. Mliwachia Frelimo hio kazi ya kupigana na Wareno.What about Idd Amin, Portuguese in Mozambique, Ian Smith in Zimbabwe and Namibia?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni mission ya Idi Amin pekee ambapo jeshi la TZ lilitumika kupigana lakini Mozambique, Zimbabwe na Namibia JWTZ halikutumika. Tafuta watoto wadogo wa kudanganya ila sio watu wazima hapa JF.Mimi nilitegemea labda ataleta mission kama hizo πππ
Yeye analeta mission ambazo hata hazifahamiki.
Na wewe tafuta watu dhaifu kama Jeshi lenu muendelee kujifunza udhaifu.Hapo ni mission ya Idi Amin pekee ambapo jeshi la TZ lilitumika kupigana lakini Mozambique, Zimbabwe na Namibia JWTZ halikutumika. Tafuta watoto wadogo wa kudanganya ila sio watu wazima hapa JF.
Kumaliza kabisa ugaidi hauwezekani na haijawahi kutokea mahali popote duniani. The best you can do ni kupunguza makali ya ugaidi lakini huwezi kuimaliza. Kama ISIS imepunguzwa makali lakini kuimaliza kabisa ni ngoma. Hebu nenda kawaambie Wamarekani kuwa mission yao ilifail kwani hawajamaliza ISIS kabisa usikie watakavyokuambia.Unafahamu maana ya mission kufanikiwa?
Sasa mbona hao wana Mgambo wanaingia kenya wanavyotaka na kufanya wanachotaka,
Jeshi lenu ni dhaifu hilo halina ubishi hata kidogo.
Mission haikuwa kuwamaliza kabisa maana hilo hata Marekani wameshindwa bali ilikuwa ni kudegrade capability yao. Najua kizungu ni shida lakini nimeshindwa kutafsiri kwa kiswahili neno "degrade capability"Unafahamu maana ya mission kufanikiwa?
Sasa mbona hao wana Mgambo wanaingia kenya wanavyotaka na kufanya wanachotaka,
Jeshi lenu ni dhaifu hilo halina ubishi hata kidogo.
Kwa hiyo kama mmarekani kashindwa na nyie ni ruksa kushindwa πππKumaliza kabisa ugaidi hauwezekani na haijawahi kutokea mahali popote duniani. The best you can do ni kupunguza makali ya ugaidi lakini huwezi kuimaliza. Kama ISIS imepunguzwa makali lakini kuimaliza kabisa ni ngoma. Hebu nenda kawaambie Wamarekani kuwa mission yao ilifail kwani hawajamaliza ISIS kabisa usikie watakavyokuambia.
Ugali hata uwe wa msaada una nguvu kushinda chapati ya injera.Chakula cha msaada ni hafifu zaidi..
Sasa nyie hadi huo uwezo wao mmeshindwa kuuharibu,Mission haikuwa kuwamaliza kabisa maana hilo hata Marekani wameshindwa bali ilikuwa ni kudegrade capability yao. Najua kizungu ni shida lakini nimeshindwa kutafsiri kwa kiswahili neno "degrade capability"
Hapo tunakubaliana kidogo. Hata mimi nataka jeshi lirudi liwekwe kwenye mipaka kwani kumaliza ugaidi kabisa halijawahi kutokea mahali popote. Tukubali tu kuwa Shabab ni dhaifu na turudi nyumbani kulinda mipaka. Lakini tatizo moja la kurudi nyumbani ni kuwa Shabab watapata mwanya wa kuimarisha nguvu yao tena halafu wakamate Kismayu kisha wakamate Mogadishu na miji midogo kama Ras Kamboni na Afmadow halafu warudi kutawala Somalia nzima kama zamani.Kwa hiyo kama mmarekani kashindwa na nyie ni ruksa kushindwa πππ
Sasa mnafanya nini huko si mrudi mje kuimarisha mipaka yenu,
Jeshi lenu ni dhaifu ndio maana mipaka yenu sio salama maadui wenu wanaingia wanavyotaka muda wowote.
Nyie rudini nyumbani imarisheni mipaka yenu,Hapo tunakubaliana kidogo. Hata mimi nataka jeshi lirudi liwekwe kwenye mipaka kwani kumaliza ugaidi kabisa halijawahi kutokea mahali popote. Tukubali tu kuwa Shabab ni dhaifu na turudi nyumbani kulinda mipaka. Lakini tatizo moja la kurudi nyumbani ni kuwa Shabab watapata mwanya wa kuimarisha nguvu yao tena halafu wakamate Kismayu kisha wakamate Mogadishu na miji midogo kama Ras Kamboni na Afmadow halafu warudi kutawala Somalia nzima kama zamani.
Huwa nashangaa saana mtu anaposema hakuna nchi iliyowai kuwamaliza magaidi aliyakuwa sijawai sikia magaidi wakiwaletea mchezo urusi na chinaKwa hiyo kama mmarekani kashindwa na nyie ni ruksa kushindwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mnafanya nini huko si mrudi mje kuimarisha mipaka yenu,
Jeshi lenu ni dhaifu ndio maana mipaka yenu sio salama maadui wenu wanaingia wanavyotaka muda wowote.