Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Hamna nchi iliyofanikiwa kumaliza ugaidi. Hata Marekani wameshindwa hivi sasa wameamua kufanya mazungumzo na Taliban. Nyie Ldc ndio mtawezana na magaidi na hata hamna uzoefu huo wa kupigana nao? Wakija Tanzania watalala na nyinyi na kuzaa na nyinyi.Unakumbuka m23 walichofanywa?
Ongea Vyovyote ila jeshi lenu ni dhaifu sana.