Jeshi la Ethiopia laingia Kenya na kuua wakenya

Unakumbuka m23 walichofanywa?
Ongea Vyovyote ila jeshi lenu ni dhaifu sana.
Hamna nchi iliyofanikiwa kumaliza ugaidi. Hata Marekani wameshindwa hivi sasa wameamua kufanya mazungumzo na Taliban. Nyie Ldc ndio mtawezana na magaidi na hata hamna uzoefu huo wa kupigana nao? Wakija Tanzania watalala na nyinyi na kuzaa na nyinyi.
 
Kama wanavyolala na kuzaa na ninyi sasa....
 
Hamna nchi iliyofanikiwa kumaliza ugaidi. Hata Marekani wameshindwa hivi sasa wameamua kufanya mazungumzo na Taliban. Nyie Ldc ndio mtawezana na magaidi na hata hamna uzoefu huo wa kupigana nao? Wakija Tanzania watalala na nyinyi na kuzaa na nyinyi.
Visingizio vya kijinga kama kawaida yenu,
Sasa Somalia mnafanya nini au biashara ya kuuza mkaa inalipa.
 
Watanzania hatuna ndugu Wajinga wajinga na Wazembe, hata kulima hawawezi ndo Wataweza kupigana.
Kama nyie mna bidii mbona nyie masikini wa kutupwa. Tukiita Waganda au Warwanda hapa na kuwauliza nani wazembe kati ya Wakenya na Watanzania basi wote watasema nyie ndio mnajulikana kwa uzembe uliokithiri.
 
Hatujafikia uzembe wenu wa kupewa misaada ya chakula karne hii.

Hawa wajinga hawafahamu chochote kuhusu nchi yao 😂😂😂
Namuuliza mission ambazo jeshi lao dhaifu limewahi fanikiwa yeye analeta ujinga,
Yaaani wanachojua tu ni ushabiki maandazi.
Kwani Somalia hatukuenda mission ya kudegrade capability ya Alshabab? Tulifanikiwa kwenye hio mission na sasa Shabab haina nguvu kama ilivyokuwa nayo hapo mbeleni. Wewe hujui maana ya mission. Wewe pengine unadhani tulienda Somalia kusalimia watu na kuwajulia hali.
 
Unafahamu maana ya mission kufanikiwa?
Sasa mbona hao wana Mgambo wanaingia kenya wanavyotaka na kufanya wanachotaka,
Jeshi lenu ni dhaifu hilo halina ubishi hata kidogo.
 
Mimi nilitegemea labda ataleta mission kama hizo 😂😂😂
Yeye analeta mission ambazo hata hazifahamiki.
Hapo ni mission ya Idi Amin pekee ambapo jeshi la TZ lilitumika kupigana lakini Mozambique, Zimbabwe na Namibia JWTZ halikutumika. Tafuta watoto wadogo wa kudanganya ila sio watu wazima hapa JF.
 
Na wewe tafuta watu dhaifu kama Jeshi lenu muendelee kujifunza udhaifu.
 
Unafahamu maana ya mission kufanikiwa?
Sasa mbona hao wana Mgambo wanaingia kenya wanavyotaka na kufanya wanachotaka,
Jeshi lenu ni dhaifu hilo halina ubishi hata kidogo.
Kumaliza kabisa ugaidi hauwezekani na haijawahi kutokea mahali popote duniani. The best you can do ni kupunguza makali ya ugaidi lakini huwezi kuimaliza. Kama ISIS imepunguzwa makali lakini kuimaliza kabisa ni ngoma. Hebu nenda kawaambie Wamarekani kuwa mission yao ilifail kwani hawajamaliza ISIS kabisa usikie watakavyokuambia.
 
Mission haikuwa kuwamaliza kabisa maana hilo hata Marekani wameshindwa bali ilikuwa ni kudegrade capability yao. Najua kizungu ni shida lakini nimeshindwa kutafsiri kwa kiswahili neno "degrade capability"
 
Kwa hiyo kama mmarekani kashindwa na nyie ni ruksa kushindwa 😂😂😂
Sasa mnafanya nini huko si mrudi mje kuimarisha mipaka yenu,
Jeshi lenu ni dhaifu ndio maana mipaka yenu sio salama maadui wenu wanaingia wanavyotaka muda wowote.
 
Sasa nyie hadi huo uwezo wao mmeshindwa kuuharibu,
Yaani mnasababisha maumivu kwa raia wa kenya wasio na hatia,
Tatizo mlikurupuka na mnashindwa namna ya kujiondoa.
 
Kwa hiyo kama mmarekani kashindwa na nyie ni ruksa kushindwa 😂😂😂
Sasa mnafanya nini huko si mrudi mje kuimarisha mipaka yenu,
Jeshi lenu ni dhaifu ndio maana mipaka yenu sio salama maadui wenu wanaingia wanavyotaka muda wowote.
Hapo tunakubaliana kidogo. Hata mimi nataka jeshi lirudi liwekwe kwenye mipaka kwani kumaliza ugaidi kabisa halijawahi kutokea mahali popote. Tukubali tu kuwa Shabab ni dhaifu na turudi nyumbani kulinda mipaka. Lakini tatizo moja la kurudi nyumbani ni kuwa Shabab watapata mwanya wa kuimarisha nguvu yao tena halafu wakamate Kismayu kisha wakamate Mogadishu na miji midogo kama Ras Kamboni na Afmadow halafu warudi kutawala Somalia nzima kama zamani.
 
Nyie rudini nyumbani imarisheni mipaka yenu,
Hayo mengine sijui ya kukamata miji mingine watajua wao huko hadi siku watie akili.
 
Kwa hiyo kama mmarekani kashindwa na nyie ni ruksa kushindwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mnafanya nini huko si mrudi mje kuimarisha mipaka yenu,
Jeshi lenu ni dhaifu ndio maana mipaka yenu sio salama maadui wenu wanaingia wanavyotaka muda wowote.
Huwa nashangaa saana mtu anaposema hakuna nchi iliyowai kuwamaliza magaidi aliyakuwa sijawai sikia magaidi wakiwaletea mchezo urusi na china

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom