Jeshi la Ethiopia laingia Kenya na kuua wakenya

Usiseme kenya na Tanzania,
Kwanini usiseme kenya ndio ifuate huo mkondo?
 
Al qaeda ilianzishwa na Osama huko Afghanistan kwa pesa ya Marekani na pesa ya Osama mwenyewe maana baba yake alikuwa tajiri mkubwa huko Saudia. Lakini Afghanistan ilikuwa chini ya uongozi wa Taliban. Taliban ndio walimpa Osama mahali pa kufanyia mipango yake na kurecruit wapiganaji wake. Hivi unadhani kama Taliban wangemfurusha Osama arudi kwao Saudia kungekuwa na upuzi unaoitwa Al qaeda?
 
Siku zote nchi ambayo watu wake wanaishi kwa jembe pekee lazima washibe kwa sana ila ubongo wao umeparara kwa kukosa elimu maana siku zote wapo shambani kuhangaikia tumbo wakati majirani wapo shuleni wakihangaikia elimu na ujuzi.
 
Usiseme kenya na Tanzania,
Kwanini usiseme kenya ndio ifuate huo mkondo?
Kwa sababu nyie pia hamfanyi search ya mabegi ya wasafiri kila baada ya kilomita kadhaa kama wafanyavyo Wahabeshi. Ila nyumba kumi yenu ipo sawa.
 
Siku zote nchi ambayo watu wake wanaishi kwa jembe pekee lazima washibe kwa sana ila ubongo wao umeparara kwa kukosa elimu maana siku zote wapo shambani kuhangaikia tumbo wakati majirani wapo shuleni wakihangaikia elimu na ujuzi.
Wanyekuhangaikia Elimu wameshindwa kumaliza ukabila, hiyo ni elimu au ujinga?, wameshindwa kutengeneza ajira, waneshindwa kupambana na rushwa, wameshindwa kupambana na "crime" waneshindwa kujilisha, wameshindwa kuwapatia wananchi wao maji safi na Salaama. That is Failed state in all sectors, including education sector ".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umepatia Vingi ila umekosea kusema kuwa Taliban imekua ikiisimamia Alqaeda na umekosea kusema Osama kwao Saudi.
Taliban haikuundwa na US ila Alqaeda imeundwa na US.
Taliban kuna mkono wa wana intelijensia wa Pakistan mule .
Na Osama yeye ni Afghanistan pure ila mamaye ndio Muarabu.
Taliban na Alqaeda havihusiani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao Russia na China ni wazuri kiintelijensia huyo US wako anasanda.
Na kinachomfanya US ashindwe kumalixa ugaidi ni kutokana hao maadui kawaunda yeye sasa inamaana anapigana na alichokiunda kwa mikono yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka una matatzo ya uelewa.
Suicide bombing unafananishaje na launched missiles ama bombing??
Mm nazungumzia makombora kurushwa km US walivyopigwa makombora na Taliban ama Israel ilivyopigwa makombora na Hezbollah.
Ndio maana nasema hakuna Bomu lililopigwa na kufanikiwa kupenya ndan ya mipaka ya Iran.
We waniletea masuala ya mabomu ya muhanga tena!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini msiwaige Ethiopia ili muweze kudhibiti Alshabaab, au hamuwezi?. Sisi Tanzania hatuwezi kuwaiga Ethiopia kwasababu Amani tuliyonayo huwezi linganisha na Ethiopia. Tanzania ni namba 7 Africa kwa amani, wakati Ethiopia na Kenya hazimo hata katika top 20.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku zote nchi ambayo watu wake wanaishi kwa jembe pekee lazima washibe kwa sana ila ubongo wao umeparara kwa kukosa elimu maana siku zote wapo shambani kuhangaikia tumbo wakati majirani wapo shuleni wakihangaikia elimu na ujuzi.
Kuna kazi kubwa sana ya kukuelimisha.Elimu inakusaidiaje wakati uko na njaa??Unaijua njaa.Nina imani unaizungumzia Kenya ukiwa kwenye ardhi ya Tanzania bila shaka.Hata kiswahili chako kinathibitisha hilo.Tafuta maana halisi ya Afya njema halafu rudi tujadili faìda ya hiyo elimu yenu.

Inakuaje mnasaidiwa na nchi za majangwa?Pamoja na elimu yenu kubwas hamuoni aibu?

Msisahau hata sisi tumewahi wasaidia chakula miaka flani njaa iliwagonga sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini na nyie msiige iran wanavyofanya
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu nyie pia hamfanyi search ya mabegi ya wasafiri kila baada ya kilomita kadhaa kama wafanyavyo Wahabeshi. Ila nyumba kumi yenu ipo sawa.
Nyumba kumi inasaidia sana maana tukimuona mtu ambaye haeleweki eleweki lazima taarifa ziende kwa balozi bila kusahau inteligensia yetu nzuri,
Hivi kwa nini Nyumba kumi ilifeli kenya?
 
Kwani bomu ya muhanga sio bomu? Kwani hiyo ni kucheza densi?
 
Baba ya Osama ambaye pia aliitwa bin Laden ndiye alikuwa mmiliki wa kampuni kubwa zaidi ya ujenzi huko Saudia. Haya ni mambo unayoweza kuyasoma hata kwenye Wikipedia. Sio lazima upinge kila kitu.
 
Hio data umetoa wapi?
 
Nyumba kumi inasaidia sana maana tukimuona mtu ambaye haeleweki eleweki lazima taarifa ziende kwa balozi bila kusahau inteligensia yetu nzuri,
Hivi kwa nini Nyumba kumi ilifeli kenya?
Kwa sababu sisi hatuna umbea. Kila mmoja ana shughuli zake. Hatuna time ya kunusa nusa leo jirani amepika nini?
 
"Engage is Crossfire" umelemewa na kizungu. Heri kukosa macho kuliko kukosa akili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…