Jeshi la Guinea-Bissau lachukua madaraka baada ya Uchaguzi wenye utata

Jeshi la Guinea-Bissau lachukua madaraka baada ya Uchaguzi wenye utata

Una akili finyu sana raia hata bila ya silaha za moto wanao uwezo wa kuiondoa serikali kwa maandamano... sembuse jeshi na raia ....samia akubaliki kabisa nchini hivyo ilikosekana amri tu ya kijeshi ...hakuna mazingira mepesi ya kuiondoa serikali madarakani barani africa kama yaliyo tokea tanzania.... iweje wanajeshi waogope kufa kuliko raia ?
Swadakta, this is what i was telling people wenye mawazo kama ya huyo uliyemquote.

Military coup hili iweze kuwa successful kirahisi inahitaji vitu vitatu tu.

1.high public resistence to the government
2.Political chaos/civil unrest.
3.Public support to the military especially
4.Disregard of consititution by current state leader

Kwa hapa Tanzania hivyo vitatu vyote vilikuwepo, wanainchi hawaitaki serikali,mtawala aliyepo ni mdhalimu anaipuuza sana katiba,kukosekana kwa utulivu na jeshi ndio taasisi pekee ambayo watu walikuwa na imani nayo...

...lakini makuma ya Jwtz yaliyojaa uwoga yakashindwa kushika nchi na badala yake yakaamua kumsaidia shetani samia kuua wanainchi, ku.ma la mama zao hakika hii dhambi yatakuja kuilipa siku moja.

Ukitazama majeshi mengi ya West Africa huwa yanajiongeza hata bila ya uwepo wa vigezo vyote hivyo, wanajeshi wa kule wakishamuona raisi anaanza kuleta usenge tu mapema sana yanamtoa madarakani, kwetu sisi hapa eti ******* wanakwambia jeshi letu limejengwa katika misingi ya utii na nidhamu, matokeo yake yanamtii mpaka mtawala mpumbav asiyekuwa na hata chembe ya uzalendo, ovyo sana hili jeshi la akina Jacob ******.
 
Kundi la maafisa wa kijeshi wamesema wametwaa udhibiti wa Guinea-Bissau huku kukiwa na ripoti kwamba rais, Umaro Sissoco Embaló, amekamatwa.

Muda mfupi baada ya milio ya risasi kusikika katika mji mkuu, Bissau, vyanzo vya serikali viliambia BBC kwamba Embaló alikuwa amezuiliwa. Maafisa hao kisha walionekana kwenye runinga ya serikali, wakisema kuwa wamesimamisha mchakato wa uchaguzi, huku taifa hilo la Afrika Magharibi likisubiri matokeo ya uchaguzi wa rais wa Jumapili.

Walisema walikuwa wanachukua hatua ili kuzuia njama ya wanasiasa ambao hawakutajwa ambao "wanaungwa mkono na mfanyabiashara maarufu wa dawa za kulevya" ili kuyumbisha nchi, na kutangaza kufungwa kwa mipaka yake na kuweka amri ya kutotoka nje usiku.

 
Ila Bagamoyo kwa Data na kuchimbua uko njema sana

Inabidi iwe hivyo ili JamiiForums iwe tofauti na media zingine chawa kazi yao kuandika kile tu kinachotoka vinywani mwa viongozi wa serikali haramu, hawafanyi juhudi / effort kujazia nyama matamko, matukio na kuunganisha historia kupata picha kubwa ya kila jambo au matukio
 
Swadakta, this is what i was telling people wenye mawazo kama ya huyo uliyemquote.

Military coup hili iweze kuwa successful kirahisi inahitaji vitu vitatu tu.

1.high public resistence to the government
2.Political chaos/civil unrest.
3.Public support to the military especially
4.Disregard of consititution by current state leader

Kwa hapa Tanzania hivyo vitatu vyote vilikuwepo, wanainchi hawaitaki serikali,mtawala aliyepo ni mdhalimu anaipuuza sana katiba,kukosekana kwa utulivu na jeshi ndio taasisi pekee ambayo watu walikuwa na imani nayo...

...lakini makuma ya Jwtz yaliyojaa uwoga yakashindwa kushika nchi na badala yake yakaamua kumsaidia shetani samia kuua wanainchi, ku.ma la mama zao hakika hii dhambi yatakuja kuilipa siku moja.

Ukitazama majeshi mengi ya West Africa huwa yanajiongeza hata bila ya uwepo wa vigezo vyote hivyo, wanajeshi wa kule wakishamuona raisi anaanza kuleta usenge tu mapema sana yanamtoa madarakani, kwetu sisi hapa eti ******* wanakwambia jeshi letu limejengwa katika misingi ya utii na nidhamu, matokeo yake yanamtii mpaka mtawala mpumbav asiyekuwa na hata chembe ya uzalendo, ovyo sana hili jeshi la akina Jacob ******.
Jeshi lote la jwtz linatakiwa kuvunjwa ...maafisa wote kufukuzwa kazi na kuunda jeshi jipya kwa mfumo na wajibu sahihi ...kazi ya kwanza ya jeshi ni kulinda wananchi, haki na nchi siyo kulinda ccm na viongozi wake, na wahuni.
 
Back
Top Bottom