Jeshi la Guinea-Bissau lachukua madaraka baada ya Uchaguzi wenye utata

Gen Mkunda you took an envelope,they took your voice, they took your strength, they took lives of your people, you lost your dignity.You sold your people with an envelope. Your envelope was a blood transaction. Augustino Polepole advised you to return the envelope. If another opportunity comes please betray the transaction and save Tanganyika.
He sold his soul to the devil, betrayed the very people he was supposed to protect

He failed tanganyika
 
View attachment 3507989

Wanajeshi wakifanya doria katikati ya mji wa Bissau karibu kabisa na Ikulu ya Guinesa Bissau, baada ya mapinduzi yalotokea leo Jumatano tarehe 26 Novemba. Picha na Patrick Meinhardt wa AFP.

Sambamba na aliekuwa raisi bwana Sissoco Embalo kuwekwa chini ya ulinzi, mnadhimu mkuu wa majeshi jenerali Biaguê Na Ntan, na naibu wake jenerali Mamadou Touré, pamoja na waziri wa mambo ya ndani bwana Botché Candé nao pia wamewekwa rumande..
Hilo ndio jeshi....ila lile lingine kule uquatorial guinnea ni kikundi cha mapambo na kutunzana
 
Silaha ni visigizio hakuna wanajeshi wasio na silaha ...tena kil9cho tskiwa siyo silaha kilicho tskiwa ni command tu .
Are you sure?
Mfano,Umeona kilichotokea Guinea....watu mpk shaba zinetembea...
Unajua kuwa bado kuna ambao wako upande huo unategemea itakuwa kirahisi tu?

So bado silaha zinahitajika
Though sio sbb pekee
 
Maafisa wa Jeshi nchini Guinea-Bissau wametangaza kuchukua “udhibiti kamili” wa serikali leo siku ya Jumatano (Nov 26, 2025) wakisitisha mchakato wa uchaguzi na kufunga mipaka, zikiwa ni siku tatu tu baada ya taifa hilo maskini la Afrika Magharibi kufanya uchaguzi wa wabunge na rais ulioibua utata.

Saa chache baada ya milio ya risasi kusikika mchana karibu na Ikulu ya Rais, kikundi cha maafisa wanaojiita "Uongozi wa Juu wa Kijeshi kwa Urejeshaji wa Utulivu" kimetangaza kuwa kimetwaa udhibiti wa nchi hadi taarifa itakapotolewa.

Hatua hiyo ya kuchukua madaraka inakuja siku moja kabla ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa urais na bunge uliofanyika Jumapili, Novemba 23.

Dakka chache kabla ya kutangazwa kwa mapinduzi ya kijeshi, Rais anayemaliza muda wake, Umaro Sissoco Embaló, aliripoti kukamatwa kwake akiwa Ikulu ya Guinea-Bissau.

Mgombea wa upinzani, Fernando Dias da Costa, ametoa wito kwa jeshi kubaki nje ya mchakato wa uchaguzi.

Rais Embaló alisema kuwa alikamatwa majira ya mchana siku ya Jumatano, akiwa ofisini kwake Ikulu, na maafisa wa jeshi pamoja na Mkuu wa Majeshi, naibu wake, na Waziri wa Mambo ya Ndani.

Mchana, jeshi lilitangaza kwamba limechukua udhibiti kamili wa Guinea-Bissau na kusimamisha mchakato wa uchaguzi.

Katika taarifa iliyosomwa na msemaji wa jeshi, Dinis N’Tchama, jeshi limesema hatua hiyo imefuatia kugundulika kwa mpango wa kuvuruga nchi uliowahusisha wanasiasa kadhaa wa kitaifa, wafanyabiashara wa dawa za kulevya, na majaribio ya kupindisha matokeo ya uchaguzi. Inaripotiwa kuwa hazina ya silaha nzito za kijeshi ilikamatwa na Huduma ya Taifa ya Ujasusi.

Kamandi Kuu ya Kijeshi kwa ajili ya Kurejesha Usalama wa Taifa na Utulivu wa Umma pia iliamuru kufungwa kwa taasisi za serikali, kusimamishwa kwa shughuli za vyombo vya habari, kufungwa kwa mipaka ya nchi kwa njia ya nchi kavu, baharini na angani, pamoja na kuwekwa kwa kutotoka nje kuanzia saa 3:00 usiku hadi 12:00 asubuhi.

Wakati huohuo, Fernando Dias da Costa, mgombea anayeungwa mkono na chama kikuu cha upinzani PAIGC na anayedai ushindi katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais wa 23 Novemba, ametoa wito kwa jeshi kubaki nje ya mchakato wa uchaguzi.

Katika video iliyoshirikiwa kwenye mitandao ya kijamii, amehimiza umma kubaki watulivu huku akisisitiza ushindi wake.

Milio mizito ya risasi iliripotiwa adhuhuri karibu na Ikulu ya Rais na ofisi za tume ya uchaguzi. Matokeo rasmi ya awali, ambayo yalitarajiwa kutolewa Alhamisi, sasa yamesitishwa.

====
Military officers in Guinea-Bissau declared they had seized "total control" of the government on Wednesday, suspending the electoral process and closing borders just three days after the impoverished West African nation held contested legislative and presidential elections.

The dramatic takeover unfolded as gunfire erupted near the presidential palace in the capital, Bissau, with soldiers in uniform blocking the main thoroughfare to the compound. Military personnel delivered their announcement from army headquarters, according to journalists from Agence France-Presse who witnessed the scene.

Troops from the presidential guard and an elite gendarmerie unit secured the now-deserted area around the palace after heavy shooting subsided midday Wednesday. Hundreds of residents had fled on foot and in vehicles as the gunfire rang out, seeking safety from the violence.

Source RFI & APA News
Waafrika bado hatujawa binadamu kamili. Ni bora mzungu arudi kututawala kwa mara ya pili.
 
Wanajeshi wa nchi zingine wanakomboa mataifa yao kutoka mikononi mwa mafisadi ila jeshi la Malawi wanachojua ni kuvunja matofali tu.
 
Are you sure?
Mfano,Umeona kilichotokea Guinea....watu mpk shaba zinetembea...
Unajua kuwa bado kuna ambao wako upande huo unategemea itakuwa kirahisi tu?

So bado silaha zinahitajika
Though sio sbb pekee
Ni hatari sana Ina maana jwtz wanakosa silaha tunajeshi la hovyo sana
 
Are you sure?
Mfano,Umeona kilichotokea Guinea....watu mpk shaba zinetembea...
Unajua kuwa bado kuna ambao wako upande huo unategemea itakuwa kirahisi tu?

So bado silaha zinahitajika
Though sio sbb pekee
Una akili finyu sana raia hata bila ya silaha za moto wanao uwezo wa kuiondoa serikali kwa maandamano... sembuse jeshi na raia ....samia akubaliki kabisa nchini hivyo ilikosekana amri tu ya kijeshi ...hakuna mazingira mepesi ya kuiondoa serikali madarakani barani africa kama yaliyo tokea tanzania.... iweje wanajeshi waogope kufa kuliko raia ?
 
Uchome moto mali na miundombinu ukose hatia!?
Bila shaka huyu atakuwa ni mkosaji iwapo tu itahibitika kisheria kuwa ameharibu mali ya mtu mwingine

Lakini waliomwaga damu na kuua waelfu ya wananchi wadio na hatia, wao ni wakosaji na ni wenye hatia kubwa zaidi...!

Vitu kama nyumba au kituo cha mafuta unaweza kuvitafuta na kuvipata tena LAKINI si uhai wa binadamu. Huo ukishauondoa haurudi tena...!!!

KWA HIYO: Wewe gallow bird na wenzako ni wajinga kwelikweli mnavyowaza uharibifu wa vitu katikati ya kuuwawa kwa maelfu ya binadamu kwa kupigwa risasi za moto na wanadamu wenzao wakitii amri haramu ya shetani Samia Suluhu Hassan
 
Maafisa wa Jeshi nchini Guinea-Bissau wametangaza kuchukua “udhibiti kamili” wa serikali leo siku ya Jumatano (Nov 26, 2025) wakisitisha mchakato wa uchaguzi na kufunga mipaka, zikiwa ni siku tatu tu baada ya taifa hilo maskini la Afrika Magharibi kufanya uchaguzi wa wabunge na rais ulioibua utata.

Saa chache baada ya milio ya risasi kusikika mchana karibu na Ikulu ya Rais, kikundi cha maafisa wanaojiita "Uongozi wa Juu wa Kijeshi kwa Urejeshaji wa Utulivu" kimetangaza kuwa kimetwaa udhibiti wa nchi hadi taarifa itakapotolewa.

Hatua hiyo ya kuchukua madaraka inakuja siku moja kabla ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wa urais na bunge uliofanyika Jumapili, Novemba 23.

Dakka chache kabla ya kutangazwa kwa mapinduzi ya kijeshi, Rais anayemaliza muda wake, Umaro Sissoco Embaló, aliripoti kukamatwa kwake akiwa Ikulu ya Guinea-Bissau.

Mgombea wa upinzani, Fernando Dias da Costa, ametoa wito kwa jeshi kubaki nje ya mchakato wa uchaguzi.

Rais Embaló alisema kuwa alikamatwa majira ya mchana siku ya Jumatano, akiwa ofisini kwake Ikulu, na maafisa wa jeshi pamoja na Mkuu wa Majeshi, naibu wake, na Waziri wa Mambo ya Ndani.

Mchana, jeshi lilitangaza kwamba limechukua udhibiti kamili wa Guinea-Bissau na kusimamisha mchakato wa uchaguzi.

Katika taarifa iliyosomwa na msemaji wa jeshi, Dinis N’Tchama, jeshi limesema hatua hiyo imefuatia kugundulika kwa mpango wa kuvuruga nchi uliowahusisha wanasiasa kadhaa wa kitaifa, wafanyabiashara wa dawa za kulevya, na majaribio ya kupindisha matokeo ya uchaguzi. Inaripotiwa kuwa hazina ya silaha nzito za kijeshi ilikamatwa na Huduma ya Taifa ya Ujasusi.

Kamandi Kuu ya Kijeshi kwa ajili ya Kurejesha Usalama wa Taifa na Utulivu wa Umma pia iliamuru kufungwa kwa taasisi za serikali, kusimamishwa kwa shughuli za vyombo vya habari, kufungwa kwa mipaka ya nchi kwa njia ya nchi kavu, baharini na angani, pamoja na kuwekwa kwa kutotoka nje kuanzia saa 3:00 usiku hadi 12:00 asubuhi.

Wakati huohuo, Fernando Dias da Costa, mgombea anayeungwa mkono na chama kikuu cha upinzani PAIGC na anayedai ushindi katika duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais wa 23 Novemba, ametoa wito kwa jeshi kubaki nje ya mchakato wa uchaguzi.

Katika video iliyoshirikiwa kwenye mitandao ya kijamii, amehimiza umma kubaki watulivu huku akisisitiza ushindi wake.

Milio mizito ya risasi iliripotiwa adhuhuri karibu na Ikulu ya Rais na ofisi za tume ya uchaguzi. Matokeo rasmi ya awali, ambayo yalitarajiwa kutolewa Alhamisi, sasa yamesitishwa.

====
Military officers in Guinea-Bissau declared they had seized "total control" of the government on Wednesday, suspending the electoral process and closing borders just three days after the impoverished West African nation held contested legislative and presidential elections.

The dramatic takeover unfolded as gunfire erupted near the presidential palace in the capital, Bissau, with soldiers in uniform blocking the main thoroughfare to the compound. Military personnel delivered their announcement from army headquarters, according to journalists from Agence France-Presse who witnessed the scene.

Troops from the presidential guard and an elite gendarmerie unit secured the now-deserted area around the palace after heavy shooting subsided midday Wednesday. Hundreds of residents had fled on foot and in vehicles as the gunfire rang out, seeking safety from the violence.

Source RFI & APA News
hapa kwetu kuna ng'ombe inaitwa mkunda anaendeshwa na kidemu kama gari bovu, hovyo kabsa mkunda
 
Una akili finyu sana raia hata bila ya silaha za moto wanao uwezo wa kuiondoa serikali kwa maandamano... sembuse jeshi na raia ....samia akubaliki kabisa nchini hivyo ilikosekana amri tu ya kijeshi ...hakuna mazingira mepesi ya kuiondoa serikali madarakani barani africa kama yaliyo tokea tanzania.... iweje wanajeshi waogope kufa kuliko raia ?
Are you serious?
Mi sina akili finyu aisee
Nina akili timamu

Haya tuambie ww nn kilishindikana basi jwtz wasifanye km Guinea bisau?
 
CDF wetu ali tumiwa sms aka isoma uku katumbua mimacho kama senge vile
 
Back
Top Bottom