Jenerali gani unakuwa chawa wa wanasiasa? Unaiuza nchi yako na wananchi wanauwawa kwa sababu ya kujipendekeza kwako kwa Wanasiasa?Gen Mkunda you took an envelope,they took your voice, they took your strength, they took lives of your people, you lost your dignity.You sold your people with an envelope. Your envelope was a blood transaction. Augustino Polepole advised you to return the envelope. If another opportunity comes please betray the transaction and save Tanganyika.
Hajui kwanini linaitww geshi la wananchi na sio la...Kumuheshimu CDF wetu inazidi kuwa ngumu
Sionagi tofauti ya Steve Nyerere na CDF mkunda.Bora Steve Nyerere ana nafuu kuliko CDF
JWTZ ni wangese sana. Njia ilkuwa nyeupe wakatuzinguaJeshi la Guinea-Bissau limechukua uongozi wa nchi kutoka kwa uongozi wa kiraia baaada ya chama tawala kuharibu taratibu za uchaguzi na kumzuiaa mgombea wa chama kikuu cha upinzani asishiriki uchaguzi.
Uchaguzi ulifanyika Jumapili iliyopita, na wananchi walikuwa wakisubiri matokeo ya kupikwa kwa hasira....,jeshi la nchi yao limeamua kuingilia kati na kumshikilia rais aliyepo madarakani Umaro Sissoko Embolo.
JWTZ walishindwa kuchukua hatua kama hiyo baada ya ccm na mgombea wao kuharibu mchakato mzima wa uchaguzi toka ule wa serikali za mitaa mwaka jana.
Sie hatuna jeshi boss. Tunawatumishi wa ccmJeshi la Guinea-Bissau limechukua uongozi wa nchi kutoka kwa uongozi wa kiraia baaada ya chama tawala kuharibu taratibu za uchaguzi na kumzuiaa mgombea wa chama kikuu cha upinzani asishiriki uchaguzi.
Uchaguzi ulifanyika Jumapili iliyopita, na wananchi walikuwa wakisubiri matokeo ya kupikwa kwa hasira....,jeshi la nchi yao limeamua kuingilia kati na kumshikilia rais aliyepo madarakani Umaro Sissoko Embolo.
JWTZ walishindwa kuchukua hatua kama hiyo baada ya ccm na mgombea wao kuharibu mchakato mzima wa uchaguzi toka ule wa serikali za mitaa mwaka jana.
How? Ht silaha eti hawanaJWTZ ni wangese sana. Njia ilkuwa nyeupe wakatuzingua
Hawa ndo wanajeshi sasa .Sisi wanajeshi wetu njaa ni nyingi na uoga sana wa maishaView attachment 3507914
Huko Guinea Bissau Wanajeshi wamefanya yao kuliepusha Taifa kuingia kwenye machafuko.
Baada ya Uchaguzi uliogubikwa na wizi wa kura,Wanajeshi wamemuweka kizuizini aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Bw. Umarro Sissoko.
Wanajeshi wamefanya hili kulinda Raia wao na kuiepusha Nchi yao na Machafuko pamoja na mauaji ya raia.
Kilichofanyika nchini Guinea Bissau ni funzo tosha kwa Chawa Mkuu anaevaa magwanda Generali Jacob Mkunda.
Kushindwa kwake kuchukua hatua kulinda Wananchi na mipaka ya Nchi kwa kuendekeza uchawa kulifanya Samia, DGIS na IGP kuingiza marcenaries kutoka Zanzibar, Uganda na Msumbiji na kuua maelfu ya Watanganyika. Sasa na yeye ni sehemu ya Watakaoozea jela ICC.
kwa Wazalendo wachache mliobaki JWTZ, MLmsiache kujifunza kwa wenzenu wa Guinea Bissau na Madagascar.
Hiu huwapa nightmare CCM sanaJeshi la Guinea-Bissau limechukua uongozi wa nchi kutoka kwa uongozi wa kiraia baaada ya chama tawala kuharibu taratibu za uchaguzi na kumzuiaa mgombea wa chama kikuu cha upinzani asishiriki uchaguzi.
Uchaguzi ulifanyika Jumapili iliyopita, na wananchi walikuwa wakisubiri matokeo ya kupikwa kwa hasira....,jeshi la nchi yao limeamua kuingilia kati na kumshikilia rais aliyepo madarakani Umaro Sissoko Embolo.
JWTZ walishindwa kuchukua hatua kama hiyo baada ya ccm na mgombea wao kuharibu mchakato mzima wa uchaguzi toka ule wa serikali za mitaa mwaka jana.
Viongozi wao ndio tatizoHili bara la Afrika ni shida sana.