Jeshi la Iran wameonya US baada ya kupokea vifaa vya mapambano vya majini zaidi ya 100

Unafananisha wakati huu na miaka ya 90 na 2000 mwanzoni....iraq waliwaonea Sana kwa wakati ule ila sio kwa iran ya sasa
nabado hata hao IRAQ walipelekeshwa na IRAN pia miaka nane tena nabado walipewa msaada mbali mbali toka sehem mbali mbali.....
 
Brain Trauma usiwe unaongelea kishabiki, Trauma inaweza kuwa ni permanent brain damage ikapelekea coma and next ni kifo, i think you know nothin about it kama huongelei kishabiki, kasome madhara ya brain trauma, usiwe unaongea kishabiki.
Huyo jamaa anajifanya mjuaji tokea kumbe ni kiazi
 
Mkuu huwa hawataki kuskia hizo habari
 
Marekani wana mstress Iran ili atengeneze na kununua silaha hii inaifanya nchi nyingine za kiarabu zipate wasiwasi na kuitegemea Marekani moja kwa moja na kununua silaha kwao na kuomba ulinzi hence they return income to USA, what an economy.
Stress Kubwa ni ya soko lake mwenyewe Mmarekani kupotea middle East,Mapinduzi ya Iran pengine ndio mapinduzi bora zaidi kuwai kutokea duniani yana mikakati ambayo Marekani kamwe hangependa kuona yakiwepo....wana sayansi wa Iran wamekuwa ni tishio kubwa kwa soko la marekani...kwa mfano Marekani imewekeza mtambo wa kulinda anga la Saudi Arabia ujulikanao km Patriotic lkn Jeshi la watu wa Yemen kwa kutumia tecnologia ya Iran waliweza kulipua visima vya mafuta Vya Saudi...mtambo ule wa US haukueweza ku Intercept...wakat huo huo Ndege isiokua na Rubani Iliangushwa na Iran kwa kutumia mtambo wake yenyewe(home made)..for the future km Marekani ikishaacha kuwagawa wana Middle East Iran itakua na soko kubwa la Military Hardware kwa majirani Zake.
 
Mkuu hebu pekua kitu Kousar project ..na Shahab 3.........achilia mbali ile satellite iliorushwa juzi na imefanikiwa...
 
Kama wewe ni msomaji na mfuatiliaji mzuri wa habari za kijeshi,kiteknolojia au ugunduzi ni rahisi kufahamu haya.
 
Ni sawa hata Trump alisema wana Headache tu, ni kawaida katika vita kutoa takwimu za uongo, but uhalisia unajulikana.
Trump hakusema "wana Headaches tu". Tuweke taarifa sahihi. Tusipotoshe!

Trump alizungumza kitu hiki, nanukuu;

"I heard that they had headaches, and a couple of other things, but I would say, and I can report, it's not very serious,"

Hizo ni taarifa alizopewa kisha naye kuziwasilisha katika vyombo vya habari. Unahitaji nikutafsirie kwa Kiswahili?

Kuthibitisha kauli ya Trump kuwa "it's not very serious", wengi wa wanajeshi hao wapatao 110 wameripotiwa kurejea katika majukumu yao ya kawaida baada ya matibabu.

Kama hizo takwimu ni za uongo je, za ukweli ni zipi?

Kama Idara ya Ulinzi ya Marekani yenye dhamana ya kuzisimamia taasisi zote zinazohusu masuala ya kijeshi na kiulinzi nchini Marekani imekuwa ikitoa takwimu za uongo, je, takwimu za kweli ni zipi? Ziko wapi hizo takwimu?

Ushahidi wa kitafiti juu ya uongo wa takwimu hizo uko wapi? Ukweli ni upi? Usiishie tu kusema "ni kawaida kutoa takwimu za uongo".

No research, no right to speak....!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sasa MKUU wewe sindio unaesema kama IRAN kilaleo anashambuliwa huko SYRIA na ISRAEL ama ninani ?!.....
Nimekwambia hivyo kwa kuwa umeshadadia shambulizi la Iran nchini Syria. Au na hapa bado hujui unachoongea.
 
Hawa majamaa wanakurupuka hivyo. Wanasema kila wanachojisikia, mara Israel inataka kuifuta Iran mara US akiipiga Iran Wairan watashambulia Russia. Yani tabu tupu.
 
Laser ziko kwenye testing na hazitotumika kuwapiga nyie. Kuna Tomahawk na makombora kibao madogo ya size ya Iran yatarushwa na subs ambazo hata kuzidetect hamuwezi. US hawezi kumpiga nuke Iran, ni matumizi mabaya ya nguvu.
Hizo boti zenu ndo zitapiga subs na kupiga missile destroyers zikiwa hundreds of km away? Eti Iran ana meli, na kazi ya kina Harpoon ni nini?
 
Iran majeshi yake yanapigwa daily pale Syria, visingizio mnaleta.
 

Attachments

  • Screenshot_2020-06-05-12-40-50-87.jpg
    72.5 KB · Views: 1
Nikawaida sana kutoa taarifa zauongo kwani wizara gani ilio iaminisha DUNIA yakwamba IRAQ kuna silaha zasumu kama sio hao PENTAGON halafu sasa hv wanasemaje ?!
 
ISRAEL anawashambulia SYRIA hilo halipingiki alipokuwa akiwashambulia IRAN kwanjia yamoja kwamoja nipale alipokua anawauwa wanasayansi wake wa nyuklia pale nikweli kabisa aliwashambulia japo awalo alikataa

Kuuwawa wanasayansi wanyuklia wa IRAN kulikua kunafanywa ndani ya Ardhi ya IRAN na Majasusi wakiyahudi ndio tunataka hata hayo makombora yake yapige pale ndio tutasema kama ISRAEL anaishambulia IRAN huko kwengine anapiga wanamgambo tu wanaoungwa mkono na IRAN

IRAN haipo SYRIA hio ilioshambuliwa niardhi ya SYRIA kama anaweza kushambulia SYRIA akashambulie na IRAN kama anaweza kama anavyoweza hapo SYRIA mashambulizi ya ISRAEL dhidi yawanamgambo wanaungwa mkono na IRAN pale SYRIA mbona yanafanywa sana MKUU nasidhanii kama kuna anaebisha kwahili

Mbona hata pale YEMEN patriotic za US zilipitwa nawanamgambo wanaungwa mkono na IRAN ila hutasikia kama ni IRAN ndio walofanya vile ?!.....
 
Hata zile drones mlokua mnazipeleka zikapepeleze IRAN mlisema ningumu kua detectes ila sasa hivi kilichobakia historia tu

IRAN toka mwaka 1979 haijaweza kupigwa ndio muiweze sasa ?!

Wakijaribu huo upuuzi hawatakaa wasahau maana asubuhi yasiku yapili wataikimbia mashariki yakati kwaghadhabu kabisa

Kama wanaweza wajaribu tu.
 
Tutaelewana tu ngoja tuoneshane makali.
Nawe nioneshe popote ambapo pua ya Iran ishawahi kuwashambulia wanajeshi wa Israel, ukitumia Hezbollah hiyo sio Iran. Na hata hivyo Hezbollah inatandikwa kila wakilazimisha kuleta ujinga. Eti anashambulia Syria, sasa kelele za Iran kushambulia kambi za US mlikuwa mnatoa za nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…