Usichokijua ni kuwa Iran wana makombora ya siri ambayo yamefichwa hayajulikani uwezo wake uko vp au yana nini, ukiachana na hayo makombora ambyo Yanafika Ulaya na Asia, chengine ni kuwa Iran haihitaji kupiga marekani, kumbuka Marekani ina malaki ya wanajeshi bara la Africa Ulaya na Asia so hizo base zake 400 zitawaka moto siku akiamua kukinukisha, Unajua kuwa kuna nchi za ulaya kipindi zile base za marekani ziliposhambuliwa Iraq walisema kuwa wanataka kununua mifumo ya S-400 ya Mrusi ili kujilinda na makombira ya Iran?
Sent from my JSN-L21 using
JamiiForums mobile app