T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Naona mnajipongeza mwenyewe. US alimuua kamanda wa Iran, Iran imefyatua makombora yakawaharibu kisaikolojia wanajeshi wa US, hii hata Idris Sultan alifanya kwa kumcheka rais. Pale US hakutaka kuua bure lakini angeamua asingeshindwa kitu.
Siku US akiingia vitani na Iran atapiga kwa speed ambayo haijawahi kutokea ili kupunguza muda wa kupanda gharama za mafuta isije ikaua uchumi wa dunia.
US hajaamua kupigana na Iran, lile shambulizi la makombora lilikuwa ni kulipiza kisasi cha Soleimani. Wapigane Wairan wawe wakimbizi bila sababu.