T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Kwani sababu ipi iliowafanya waipige LIBYA mpaka LIBYA waishe vile walivyo sasa ?!Naona mnajipongeza mwenyewe. US alimuua kamanda wa Iran, Iran imefyatua makombora yakawaharibu kisaikolojia wanajeshi wa US, hii hata Idris Sultan alifanya kwa kumcheka rais. Pale US hakutaka kuua bure lakini angeamua asingeshindwa kitu.
Siku US akiingia vitani na Iran atapiga kwa speed ambayo haijawahi kutokea ili kupunguza muda wa kupanda gharama za mafuta isije ikaua uchumi wa dunia.
US hajaamua kupigana na Iran, lile shambulizi la makombora lilikuwa ni kulipiza kisasi cha Soleimani. Wapigane Wairan wawe wakimbizi bila sababu.
US nnayoijua mimi ama anayoijua hata yeye haiwezi ikakuacha upige kambi yake hata bure
Mfano SYRIA pale US wanakambi zao zakijeshi ila SYRIA hawathubutu kurusha hata jiwe nakama itatokea akarusha basi US atakua kaishapata mamlaka kamili yakumchapa AL ASSAD yaani DIRECTLY
namkumbusha tu kuipiga kambi ya nchi ama taifa jengine nitayari umeshatangaza vita hadharani kuliko hata alivyoenda kuipiga IRAQ ya SADDAM ama LIBYA ya GADAFI kwasababu zakuunga unga
US kachapiwa kambi zake mwenyewe pale IRAQ ambazo kazisimamia UJENZI wake mwenyewe US akakausha kapigiwa DRONE zake zaidi yamaramoja kanyamaza kakamatiwa Mpaka wanajeshi wake kama haitoshi kanyamaza
Sijui anataka IRAN waoneshe ubabe gani dhidi ya US hayo nloyataja hapo hakuna taifa lolote limemfanyia US baada ya vita ww1 na ww2 vimalizike ni IRAN pekee
Halaf anatokea mtu anakuja kuwabeza hawa watu.....
Unamuunga mkono ili azidi kuonewa?Siku zote mtu anaye onaewa huwa namuunga mkono kwa 100%
Us hakutegemea alijua anaogopeka maana baloz zake za Afrika zilitangaza watu wake wawe makini wasikae Kwenye mikusanyiko alizan atalipizwa kwa njia ya shambulio la kigaidi kumbu tofauti kabisa Wala hakuwaza Kama kambi zake 2 zitalipuliwa na ndio maana akanywea kwanza kupiga hesabu upya et ohhhh tutahakikisha Iran awi na siraha za nyuklia na tunamuongezea vikwazo vikali kabisa huku kukitathmini tuchukue hatua gani zaidi, wajuzi wa mambo tulisema ndio ishaisha hiyo hana lolote wale vichwa ngumu wa Us wakawa wamebaki suburini tu muone c mpaka leo tu tunaendelea kusubiri [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kwani sababu ipi iliowafanya waipige LIBYA mpaka LIBYA waishe vile walivyo sasa ?!
Sababu ipi iliopelekea IRAQ ikawa vile ilivyo ?!
Eti akiamua kama haja amua alipopigwa kambi yake unahisi anaweza akaamua akifanywa kubwa lipi ?!
IRAN waliuliwa kamanda wao halina ubishi ila waliapa kama watajibu nakweli walijibu tena walijibu kwakupiga kambi za US
US walimuuwa yule mwamba ila walimngojea nje kabisa yamipaka ya IRAN kwasababu walijua akiwa IRAN hawawez hata kumrushia jiwe maana wangekiona
Unahisi wakati analenga zile kambi alikusudia kupiga mabati ?!
Angeamua wakati mwenzake aliahidi na akatekeleza alilofanya US kweli aliuwa lakini alikua kama mwizi flani tu hivi ila alichofanya IRAN niusujaa maana nakuonya ama nakupa taarifa kama ntakupiga nabila kupepesa macho natekeleza halafu useme US hakutaka sio hakutaka alijua majibu yake yatakua mazito zaidi maana hayo yalotokea wala hakuyategemea kwanza.....
RUSSIA nachoko choko zote walionazo na US hajawahi kujaribu huyu mnaweza mkasema wanajuana KOREA najeuri zake zote hajawaza kuthubutu
IRAN pekeee
Una uhakika na hiki ulichokisema?Wala hakuwaza Kama kambi zake 2 zitalipuliwa
Kama unafuatilia baada ya Iran kutangaza watalipiza kisasi mpaka ubalozo wa marekani hapa Tz ulitoa rai kwa wananchi wake kuhofu kisasi Sasa wangekuwa wanajua Iran atalipiza kwa namna gani wangetapa tapa kuwahami raia wake mpaka walioko huku TZ?Una uhakika na hiki ulichokisema?
Kuna some sort of conspiracies hapo kama umekuwa ukifuatilia taarifa vizuri.Kama unafuatilia baada ya Iran kutangaza watalipiza kisasi mpaka ubalozo wa marekani hapa Tz ulitoa rai kwa wananchi wake kuhofu kisasi Sasa wangekuwa wanajua Iran atalipiza kwa namna gani wangetapa tapa kuwahami raia wake mpaka walioko huku TZ?
Haya maneno tushayazoea alipita BUSH seuze huyu Mkesha TwitaniDaah nmesoma comment za wadau humu nacheka tuu... Yaani dunia ya leo mtu anawaza eti Iran ampige USA.?? Serious kabisaaa
Huyo Iran hajafika hata level za UK,SK, China,German,France,Russia ndio ampige USA..?? Huyo Iran hawez hata kumgusa Israel pale jiran tu ndio amtishe USA..?? Ila bahati nzur ni kua awamu hii ya kwanza Trump sio mpenda vita ila kama atapita uchaguzi wa November basi kuna mataifa yajiandae kisaikolojia ikiwemo Iran..
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kutuambie hizo kambi zilitengenezwa na Iraq kwa pesa zao ? Au we ndio kati ya wale wamarekani weusi wapo Kwenye propaganda maana hata Trump baada ya kichapo aliadaa ulimwengu kwa kuliutubia taifa kwa propaganda za kudai HATUTAKUBALI IRAN IMILIKI SILAHA ZA NYUKLIA HAHAHAAHAKuna some sort of conspiracies hapo kama umekuwa ukifuatilia taarifa vizuri.
Si kweli kuwa Marekani ilikuwa haijui kuhusu kushambuliwa kwa kambi hizo kabla ya mashambulizi.
Pia nikusahihishe;
Kambi zilizoshambuliwa na Iran si kambi za jeshi la Marekani bali ni coalition bases za Iraq zenye kuhifadhi majeshi mbalimbali yakiwemo ya Iraq yenyewe.
wakati kabla hawajashambuliwa IRAN alipotoa ujumbe haraka wakajibu IRAN atakapo shambulia kambi yetu popote pale ULIMWENGUNI atakumbana namajibu makali ambayo hajawahi kukumbana nae yeyote yule awayeUnataka kutuambie hizo kambi zilitengenezwa na Iraq kwa pesa zao ? Au we ndio kati ya wale wamarekani weusi wapo Kwenye propaganda maana hata Trump baada ya kichapo aliadaa ulimwengu kwa kuliutubia taifa kwa propaganda za kudai HATUTAKUBALI IRAN IMILIKI SILAHA ZA NYUKLIA HAHAHAAHA
Walidai watashambulia maeneo ya asili 52 kwa haraka na Iran akamjibu maeneo 104 ya marekani tayari yapo Kwenye range ya makombora hahahaha huyu ndio kudume wa dunia na ndio maana marekani akanywea akaona litakua balaa zito Kama Mara ya kwanza waliweza hii adadi ya pili pia watatekeleza ndio akaona bora achutame maana muungwana akivuliwa nguo huchutama ohhh Iran atakabiliwa na vikwazo kwani ndio ahadi waliotoa mwanzo mbona hawakushambulia hizo sehem 52?. Na vile vikwazo zuga tu ili apunguze haibuwakati kabla hawajashambuliwa IRAN alipotoa ujumbe haraka wakajibu IRAN atakapo shambulia kambi yetu popote pale ULIMWENGUNI atakumbana namajibu makali ambayo hajawahi kukumbana nae yeyote yule awaye
Hatimae[emoji16][emoji23][emoji3]
Kambi zilijengwa na serikali ya Iraq kwa pesa zake.Unataka kutuambie hizo kambi zilitengenezwa na Iraq kwa pesa zao ? Au we ndio kati ya wale wamarekani weusi wapo Kwenye propaganda maana hata Trump baada ya kichapo aliadaa ulimwengu kwa kuliutubia taifa kwa propaganda za kudai HATUTAKUBALI IRAN IMILIKI SILAHA ZA NYUKLIA HAHAHAAHA
Saivi anakataa kuwa sio kambi za marekani hahahahahahhaa hichi kituko [emoji23][emoji23][emoji23]Unataka kutuambie hizo kambi zilitengenezwa na Iraq kwa pesa zao ? Au we ndio kati ya wale wamarekani weusi wapo Kwenye propaganda maana hata Trump baada ya kichapo aliadaa ulimwengu kwa kuliutubia taifa kwa propaganda za kudai HATUTAKUBALI IRAN IMILIKI SILAHA ZA NYUKLIA HAHAHAAHA
Hem soma habari basi MKUU baada yazile kambi kushambuliwa zilikuja habari gani kwamba kambi gani zimeshambuliwa zanani ?!Kambi zilijengwa na serikali ya Iraq kwa pesa zake.
Kambi ya Al-Asad ambayo ilitajwa kushambuliwa zaidi ni ya miaka ya 80.
Marekani ilikuja kuwekeza baadaye katika hiyo base ndipo ikaboreshwa zaidi na kuwekewa miundombinu za kisasa. Baada ya vita ya 2003 kuisha base ikafungwa rasmi mwaka 2011.
Hivi sasa hiyo kambi ni coalition base ya majeshi ya nchi mbalimbali.
[emoji38][emoji38][emoji38]atakua mtambo huyu tena wa gongo ,Wakati kati ya kambi za gharama za marekani nazo hizo mbili zipo Kwenye hesabu halafu analeta propaganda inamana Iran walikua hawajui Kama hizo kambi sio za Marekani yeye ndio anaejua? Atafute mtoto mwenzie wa kumdanganya.Saivi anakataa kuwa sio kambi za marekani hahahahahahhaa hichi kituko [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
Hizo "habari gani" ni kutoka vyanzo vipi?Hem soma habari basi MKUU baada yazile kambi kushambuliwa zilikuja habari gani kwamba kambi gani zimeshambuliwa zanani ?!
Yes zilijengwa na IRAQ ila baada ya Jamaa kutoka madarakani SADAM zilihodhiwa na US zikafungwa mwaka 2011 kabla yakuja kufunguliwa tena baada yakuibuka ISIS mwaka 2014 mpaka sasa
Ilikua inatumika ama mpaka sasa inatumika na US BRITAIN na Wenyeji IRAQ (Ndio inatambulika kama kambi kubwa ya US pale IRAQ kiufupi jamaa wanahost ile kambi kama yao maana wao ndio wana wanajeshi wengi pale kuliko ukibisha google)
AIN AL ASSAD inajulikana kama kambi ya US pale IRAQ na ashukuru sana uwepo wawanajeshi wa IRAQ pale angepigwa mpaka achakae kima yule.....
In short kapigwa bcHizo "habari gani" ni kutoka vyanzo vipi?
Media zote kubwa tunazozifahamu ziliripoti kitu hiki ama kinachofanana na hiki; "Iraqi bases hosting/housing US troops".
Marekani hai-host kambi ya Al-Asad bali kambi ndiyo ina-host US troops ama US forces pamoja na majeshi ya mataifa mengine mpaka kufikia sasa.
Katika vyanzo mbalimbali utakutana na kitu hiki ama kinachofanana na hiki, narudia, "Iraqi bases hosting/housing US troops". Fuatilia!