ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Mkuu hizo takwimu zako mbona ni mara ya kwanza kuzisikia kwa sababu hata Israel yenyewe haijawahi kutoa takwimu hizo ulizo zileta.Hapo ndio tunakwenda kwenye majibu.
Unajua hiyo idadi ya wapiganaji 3000 na zaidi ilitolewa na nani?
Nikakuuliza unajua hiyo October 07 walipoingia israel na kuua wanajeshi 390 na polisi 145 na raia 1400.
Nani alikadiria hesabu yao na kwa uhakika upi????
NB: NI MARA YA KWANZA SABABU HUFUATILII NA HUJUI MAITI NGAPI ZA WAPIGANAJI WA HAMAS ZILIBAKI ISRAEL OCTOBER 07 NA 08 NA 09