Wewe ni mwehu , unajua Gaza occupation ya 2005 kurudi nyuma ya wazayuni hapo Gaza imekaa kwa muda gani huku ikishuhudiwa Hamas kuzaliwa na kukua kama walivyo leo ?
Kenge we
Wewe unadhani hata wazayuni wakiamua kukaa hapo ndio kwamba Harakati za Hamas zitaisha au watakufa njaa ,kwa akili yako mgando hiyo ? , Unajua urefu wa hizo bunkers na tunnels ? ,
Unajua hizo tunnels zimesambaa mpaka katika mataifa gani hapo ya karibu ?
Unajua supplies za ujenzi na uzalishaji wa silaha Hamas walikuwa au wanaendelea kuzipata kwa namna gani ukizingatia Gaza miaka yote imekuwa surrounded katika mipaka yako na wazayuni (border control ) na kabla ya 2005 hao Hamas wameanza kujenga hizo underground bunkers and tunnels na wazayuni wakiwa hapo hapo kama occupiers
Tumia akili usitumie emotions za kijinga na makalio kufikiri